Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Jiwe ndo alifanya wasomi wakadharaulika , wote alitaka tuwe wachoma mahindi ndo mana form four failure wanabonga Sana , mpak la Saba B nao wanabwabwaja huko bungeni
 
Lini wameondolewa na wamerudishwa lini?
huku niliko taarifa imetolewa mchana na inaonesha agizo toka juu maana MKUU WA WILAYA alipigiwa simu na akatoa kauli ya watumishi kuondolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
hili zoezi wapewe vijana wasio na ajira na wazalendo wa nchi huwez mweka mtumishi kua karani ukamuacha asio na ajira akapata hata mtaji.
 
Lini wameondolewa na wamerudishwa lini?
huku niliko taarifa imetolewa mchana na inaonesha agizo toka juu maana MKUU WA WILAYA alipigiwa simu na akatoa kauli ya watumishi kuondolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku nilipo watumishi ni kama wote.

Yaani ni kama wamerudisha majina yoote ya walioomba.

Hiyo ya kuondoa watumishi labda ni huko kwenu mkuu.
 
NATOA TAMKO KWA NBS ,NAWAOMBENI MTOE MAJINA YA WALIOCHAGULIWA NA KATA KWENYE MTANDAO WENU NBS/OCGS KWA ZANZIBAR NA MTOE TAARIFA RASMI YA KINACHOENDELEA ACHENI KUTUSUMBUA WATANZANIA NA ROHO JUU JUU,KUJUA KINACHOENDELEA NI HAKI YETU WATANZANIA ,HILI NI JUKUMU LA MUHIMU SANAAA KITAIFA KWAHIYO SIO LA KUSUMBUANA HIVI.

NAWAOMBENI SANAA NBS/OCGS WEKENI MAJINA MITANDAONI LASIVYO MTASABABISHA MAMLUKI KUJITOKEZA KWENYE ZOEZI HILI NYETI LA KITAIFA.
 
Huku nilipo watumishi ni kama wote.

Yaani ni kama wamerudisha majina yoote ya walioomba.

Hiyo ya kuondoa watumishi labda ni huko kwenu mkuu.
Hata huku hapo awali majina yalirudi yote,ila baadae watumishi wakaenguliwa na majina wanaenda kuchapa upya then wayabandike tena bila uwepo wa watumishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…