Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Jiwe ndo alifanya wasomi wakadharaulika , wote alitaka tuwe wachoma mahindi ndo mana form four failure wanabonga Sana , mpak la Saba B nao wanabwabwaja huko bungeniUmeandika Upupu Tuuu,, hao wasomi wanausumbufu gani? yaan Ww unauhakika Kuwa Wasomi ni wasumbufu kuliko Form 4 ebu lete ushahidi hapa....Eti uchukue kilaza aliyepata mswaki wa hesabu akahesabu watu unamuacha Msomi mwenye uelewa mpana zaidii wa hesabu na Technologia...... Alafu unapanua Domo lako kuongea na kuandika hovyo hovyo,,,,,,, Ebu waacheni waliokomaa Na Elimu mkashindwa kuwaajiri Wapate pesa za kujiajirii