Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Wewe fata maisha yakoKitaalamu imekaa vipi? kuna mtu namkutaga katika nyuzi fulani anasema yuko majuu ana kazi yake na kula bata cha ajabu kila siku yupo analilia mkeka humu na kulaumu serikali [emoji23][emoji23][emoji38]
Aisee labda karudi kuhesabiwa!Kitaalamu imekaa vipi? kuna mtu namkutaga katika nyuzi fulani anasema yuko majuu ana kazi yake na kula bata cha ajabu kila siku yupo analilia mkeka humu na kulaumu serikali 😂😂😆
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vihoja vya jeifuKitaalamu imekaa vipi? kuna mtu namkutaga katika nyuzi fulani anasema yuko majuu ana kazi yake na kula bata cha ajabu kila siku yupo analilia mkeka humu na kulaumu serikali [emoji23][emoji23][emoji38]
>1978
>1988
>2002
>2012
Sensa ya 1967 watanzania walikuwa wangapi?KWA WALE WANAOENDA USAILI JIONGEZEENI MAARIFA KIDOGO KUHUSU SENSA [emoji116].
Sensa ya Watu na Makazi ni zoezi la kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10 ambapo Sensa ya mwisho kufanyika nchini ni ile ya mwaka 2012.
Hivyo Sensa ya mwaka 2022 itakuwa ni sensa ya sita kufanyika nchini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964.
Sensa nyingine zilifanyika [emoji116] >>1967
inaitwa nje ndani 😀😀Kitaalamu imekaa vipi? kuna mtu namkutaga katika nyuzi fulani anasema yuko majuu ana kazi yake na kula bata cha ajabu kila siku yupo analilia mkeka humu na kulaumu serikali 😂😂😆
Sema kimeumana [emoji3][emoji3][emoji3]Kitaalamu imekaa vipi? kuna mtu namkutaga katika nyuzi fulani anasema yuko majuu ana kazi yake na kula bata cha ajabu kila siku yupo analilia mkeka humu na kulaumu serikali [emoji23][emoji23][emoji38]
Hizi movement zingekuwa zinafanyika mjini Twitter huenda zingezaa matunda ila humu jeiefu tutajiongelesha sanaWILAYA YA KINONDONI NDO BADO AU TUMESHAPITA WOTEEEE HAINA HAJA YA USAILI ETI EH?? SAFI SANAAA WATUMISHI NA WENYE AJIRA WAONDOLEWE WOTEEEEE TUWEKWE MAJOBLESS TUPATE MITAJI,SERIKALI INATOA MIKOPO LAKINI KWA MASHARTI YA MWENDO KASI.
MAJOBLESS WOTEE TUSAPOTIANE KWA HILI TUPITE KWENYE KILA KITU NA KIASI CHOCHOTE UTAKACHO PATA TURIDHIKE NACHO TU.
Umeandika kwa uchungu Sana mkuu[emoji23][emoji23]WILAYA YA KINONDONI NDO BADO AU TUMESHAPITA WOTEEEE HAINA HAJA YA USAILI ETI EH?? SAFI SANAAA WATUMISHI NA WENYE AJIRA WAONDOLEWE WOTEEEEE TUWEKWE MAJOBLESS TUPATE MITAJI,SERIKALI INATOA MIKOPO LAKINI KWA MASHARTI YA MWENDO KASI.
MAJOBLESS WOTEE TUSAPOTIANE KWA HILI TUPITE KWENYE KILA KITU NA KIASI CHOCHOTE UTAKACHO PATA TURIDHIKE NACHO TU.
Kesho wahi pale bujingwa secondary kutakuwa na interview njoo na vyeti og na kitambulisho cha taifa. Taarifa hii ilikuwa kwa ajiri ya wasimamizi wa uchaguzi 2020Hivi wilaya ya ilemela utaratatibu wao wakutoa majina haya umekaaje, katani hayapo, wala mtandaoni hayapo, au ndio kuna uchakachuzi unaendelea aisee
Warda kumbe nawe umo.Siwezi furahia maana usahili bado,Ee Mungu saidia[emoji1545]
Safi sana ...wasafishe watumishi WoteNackia baadhi ya halmashauri,meza imepinduliwa mchana...!!watumishi out....jobless inn..!! Ngoja tuendelee kuangalia movie ya sensa,maana ni km picha la kihindi vile[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Daah haya maswali yamekuwa mengi hujui ukariri lipi Usaili wenyewe ni kesho saa mbili halafu ni wa mazungumzo hizi nondo nitazipitia asubuhi nikisubir jina langu liitwe nilale zangu tu [emoji3]KWA WALE WANAOENDA USAILI JIONGEZEENI MAARIFA KIDOGO KUHUSU SENSA [emoji116].
Sensa ya Watu na Makazi ni zoezi la kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10 ambapo Sensa ya mwisho kufanyika nchini ni ile ya mwaka 2012.
Hivyo Sensa ya mwaka 2022 itakuwa ni sensa ya sita kufanyika nchini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964.
Sensa nyingine zilifanyika [emoji116] >>1967