Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hebu niulize swali mwenye kujib anijib naona weng hatujaon mikeka yetu, kama hapa Arusha n kata moja tu imetoa majina. Swali ni je Tanzania nzima usaili unaanza kesho saa 2 au ni kwa waliopata mikeka yao tu. Mwenye jib tafadhal tujue kesh jobless tnaamkaj
Hapana, Morogoro wanaanza tarehe 20.
 
Nbs wame.mbwelesha sana huu.mchakato yaan wameshindwa kuchambua watu 225 k.tu ..sasa izo data wana kusanyaga kiusahihi kweli ? Yaan umeahindwa kuwachambua watu 250k.upate 225k imagine una kusanya data za watu mMil 65 ...nina mashaka..

Website yao ime elemewa haifunhuki ontime ...huku kazuramimba kuna baadhi ya walioomba mpaka sasa wanakodolea macho laptopuu za kuazimia
 
Nbs wame.mbwelesha sana huu.mchakato yaan wameshindwa kuchambua watu 225 k.tu ..sasa izo data wana kusanyaga kiusahihi kweli ? Yaan umeahindwa kuwachambua watu 250k.upate 225k imagine una kusanya data za watu mMil 65 ...nina mashaka....
Dar es salaam mpaka saiz hola, nimeona kinondoni tu, Ilala Bado hata huko kata hayajabandikwa Sasa sijui intavyuu ni Leo nchi nzima ama vipi
 
Aliyefanikiwa mkeka wa Ilala aweke basi, website ya Nbs imezidiwa tangu jana haifunguki
 
Dar es salaam mpaka saiz hola, nimeona kinondoni tu, Ilala Bado hata huko kata hayajabandikwa Sasa sijui intavyuu ni Leo nchi nzima ama vipi
Hapana haiwezi kuwa siku moja, mfano Morogoro MC na Morogoro DC wanafanya tarege 20, Jumatano.
 
Nbs wame.mbwelesha sana huu.mchakato yaan wameshindwa kuchambua watu 225 k.tu ..sasa izo data wana kusanyaga kiusahihi kweli ? Yaan umeahindwa kuwachambua watu 250k.upate 225k imagine una kusanya data za watu mMil 65 ...nina mashaka..

Website yao ime elemewa haifunhuki ontime ...huku kazuramimba kuna baadhi ya walioomba mpaka sasa wanakodolea macho laptopuu za kuazimia
Imagine... Yaani hata mimi nimejiuliza sana...hawa wanaenda kuhesabu watu zaidi ya 60m wameshindwa kuweka majina ya watendaji 225k kwenye website yao kwa utaratibu mzuri wa kimkoa? Wanakaa wanasambaza majina nusunusu bila utaratibu wowote wa kueleweka..Sijui hiyo sensa itakuwaje au natakwim zitakua zinatoka nusunusu....Shame!
 
NBS wana uhaba wa watumishi. Wamejazana wazee wazee walioajiriwa tokea enzi za mwinyi na mkapa
 
Back
Top Bottom