Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

New Ramli fikirishi: ukitoa wna chuo ,walikuwa mbali kuna wengine hawana vyeti OG hivyo kutakuwa kuna baadhi watu watapungua kwenye usahili.
Mkuu mkeka wako wa Ilala haujaupata bado?
 
Ilemela yalemela. Hali ndamu getegete

Watendaji katani hawapo wala hakuna tangazo. Tutaona mengi
Dah nilikua najiandaa nianze kuelekea katani ila ngoja niendelee kusikilizia nitapoteza muda bure...
Hivi hawa watu wanakwama wapi adi leo hii hakuna kitu mkuu?
 
UPDATES :

WATAARIFU NA WENGINE HUKO WA HAPA KATA YA URU KUSINI .

KATA YA URU KUSINI USAILI UNA FANYIKA MAWELA TECHNICAL KULE MAENEO YA USHIRIKA WA NEEMA
 
Tupieni maswali humu wakuu kwa waliofanyiwa usahili tayari ili kila mwana j.f apate kiinua mgongo [emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom