Dennis002
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 149
- 52
Na mkeka wa Manyara wilaya Babati jamani kama unao tusaidiane mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mkeka wa Manyara wilaya Babati jamani kama unao tusaidiane mkuu
Mkuu nisaidie pdf ya kinondoniDar es salaam mpaka saiz hola, nimeona kinondoni tu, Ilala Bado hata huko kata hayajabandikwa Sasa sijui intavyuu ni Leo nchi nzima ama vipi
Hapa hapa mkuuNikupeeee wapi hapa hapa??
Nitumie hiyo ya kinondoni mkuuDar es salaam mpaka saiz hola, nimeona kinondoni tu, Ilala Bado hata huko kata hayajabandikwa Sasa sijui intavyuu ni Leo nchi nzima ama vipi
Asante sana Vicenza
Ni kweli, japo Arusha makarani wameandikiwa waende na cha form 4Hivi n kweli kwenye usahili unaenda na vyeti OG au ni fiksi tuu
Duh mbna majanga... Cheti kipo dar mm nipo bukobaNi kweli, japo Arusha makarani wameandikiwa waende na cha form 4
Una achana tu na hizo harakatiDuh mbna majanga... Cheti kipo dar mm nipo bukoba
Jilipue tu, nenda na copy na vitambulishoDuh mbna majanga... Cheti kipo dar mm nipo bukoba
Nenda nacho OG kwani huwezi jua kitakachojiri huko si unajuwa huu mchezo ni kama tunaviziana mzee baba.Hivi n kweli kwenye usahili unaenda na vyeti OG au ni fiksi tuu