Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mkeka wako wa Ilala haujaupata bado?New Ramli fikirishi: ukitoa wna chuo ,walikuwa mbali kuna wengine hawana vyeti OG hivyo kutakuwa kuna baadhi watu watapungua kwenye usahili.
Hivi ni mtendaji wa kata au serikali ya mtaa..!? Au ndo wanakua watendaji wotekuna mwana anatutambia kuwa ameshapanga mtendaji
Bado sijapata mkuu .Mkuu mkeka wako wa Ilala haujaupata bado?
Kama ilivyo mkeka wa Temeke mpk sasa hakuna chochoteBado sijapata mkuu .
Dah nilikua najiandaa nianze kuelekea katani ila ngoja niendelee kusikilizia nitapoteza muda bure...Ilemela yalemela. Hali ndamu getegete
Watendaji katani hawapo wala hakuna tangazo. Tutaona mengi
Waambie wapige picha wakutumie watsup au kitumwe kwenye basiUna achana tu na hizo harakati
Mimi nipo kata tayari Ila bila bilaDah nilikua najiandaa nianze kuelekea katani ila ngoja niendelee kusikilizia nitapoteza muda bure...
Hivi hawa watu wanakwama wapi adi leo hii hakuna kitu mkuu?
Nina soft Copy ya original yakeWaambie wapige picha wakutumie watsup au kitumwe kwenye basi
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Vp huko tyr kaka, nipe A, B maswal uloulizwnipo ofisi ya kata tunasubiri mchujo
Duuuh!! Hayo ndio mambo sas!. Kuulizana maswal kunaboa snMwanza city council ni mwendo wa kuhakiki vyeti tu.
wote waliokuwa selected wanaingia mzigoni[emoji28][emoji28][emoji28]
Print hiyo timba nayo.print ya rangiNina soft Copy ya original yake