Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Confermed, kuna watu wanapigiwa simu na wengine sms kimya kimya kuitwa kesho kwenye usaili 😉🙄🙄🙄Kesho wahi pale bujingwa secondary kutakuwa na interview njoo na vyeti og na kitambulisho cha taifa. Taarifa hii ilikuwa kwa ajiri ya wasimamizi wa uchaguzi 2020
Mkuu watabandika kesho, kesho jaribu kuingia kwa kata ila ilemela kwa kujuana ni shida make nakumbuka anuani za makazi ilikuwa noma sana.Confermed, kuna watu wanapigiwa simu na wengine sms kimya kimya kuitwa kesho kwenye usaili 😉🙄🙄🙄
Hii wilaya kiboko, na majina hakuna mahala ya mebandikwa 🤐 na hayapatikani kata zooooote
mkuu na hatimaye jina lako ushaliona nini?Daah haya maswali yamekuwa mengi hujui ukariri lipi Usaili wenyewe ni kesho saa mbili halafu ni wa mazungumzo hizi nondo nitazipitia asubuhi nikisubir jina langu liitwe nilale zangu tu [emoji3]
Shusheni maswali hayo mkuu
huyo ashapita moja kwa moja tu .Hivi na sehemu ambazo mtu wa mauzui ni mmoja tu kwenye list inakuwaje ? Huu uhuni kabisa [emoji3][emoji1787]
Hivi wanamfanyia usahili
Ilemela ni wazushi sanaConfermed, kuna watu wanapigiwa simu na wengine sms kimya kimya kuitwa kesho kwenye usaili [emoji6][emoji849][emoji849][emoji849]
Hii wilaya kiboko, na majina hakuna mahala ya mebandikwa [emoji850] na hayapatikani kata zooooote
Mwenye link ya group la HR-TANZANIA , naomba aweke hapa maana huwa kuna discuss za maana kule kuhusu maswala ya sensa. Sema nilileft
Watendaji hapa ndipo watakapo jipalia kaa la moto, yaan japa wqsipo kaa vizuri watajitangazia vitaa na taifa la wasaka ajira ..😆😆 eiii yaan nbs wamewauzia kesi wa tendaji ...Watendaji wamepewa rungu wasio na conection ni mwendo wa rungu tu [emoji23][emoji23]
Asibweteke, atashtukia kwenye usahili wapo zaidi 10 na usishangae akatemwahuyo ashapita moja kwa moja tu .
Mambo bado enh? wengi wanachuja ili kupata wakazi wa maeneo husika kwa kutumia namba za NIDA, pale kuna postcode ya eneo ulojiandikishia.Ilemela ni wazushi sana
Mbna nasikia ni walimu wakuu na waratibu wa elimuWatendaji hapa ndipo watakapo jipalia kaa la moto, yaan japa wqsipo kaa vizuri watajitangazia vitaa na taifa la wasaka ajira ..[emoji38][emoji38] eiii yaan nbs wamewauzia kesi wa tendaji ...
Ivi lugha ya usaili wa sensa ni ipi
Mbona dsm tayari mkuu
Mbona dsm tayari mkuu
Mbona dsm tayari mkuu
Confermed, kuna watu wanapigiwa simu na wengine sms kimya kimya kuitwa kesho kwenye usaili [emoji6][emoji849][emoji849][emoji849]
Hii wilaya kiboko, na majina hakuna mahala ya mebandikwa [emoji850] na hayapatikani kata zooooote[/QUOTE
Nchi imekuwa ya mahayawani Tu hii , hopeless kabisa .Nchi isiyothamini elimu ni tundu la Choo tuJiwe ndo alifanya wasomi wakadharaulika , wote alitaka tuwe wachoma mahindi ndo mana form four failure wanabonga Sana , mpak la Saba B nao wanabwabwaja huko bungeni
Kat*mbwe sasaHao wasomi wamelisaidia nini taifa, yaani taifa linawadai mabilioni ya mikopo na hamna faida yoyote kwa jamii zaidi ya kusubiri nguna kwenu.