Black255
Senior Member
- Feb 19, 2015
- 181
- 370
ndio mkuuAiseee kumbeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio mkuuAiseee kumbeee
Hahaha hahahhaMsalimie huyo mtendaji wangu hapo katani kawe
Nimekwambia ingia blog ya assenga utakuta mikoa yote..we ulitaka ni download kila Wilaya na ku upload hapaNyie wenyewe hamna hayo majina zaidi ya kuwadirect watu wadownload telegram utafikiri mmeambiwa hizo telegram watu hawana
Ingia assengaonline acha ubishiNyie wenyewe hamna hayo majina zaidi ya kuwadirect watu wadownload telegram utafikiri mmeambiwa hizo telegram watu hawana
Ingia assengaonline acha ubishi mkuu..Kisha chagua mkoa wako Kisha Wilaya yako Kisha download PDF..sirudiiHakuna kitu
Nakaziatehama kila mkoa wanatakiwa wangapi??
Tunaomba abc mkuuDah hii ni hatareeeeeeeeeeeeeeeeee. Usail una fanyika ila watu kibaoooo wapo tuu wanasubilia.....
Kwani bado namba 1 mpaka 80 au wameanza kugawa namba nyingine??, naona mmekusanyikana ghafla.Dah hii ni hatareeeeeeeeeeeeeeeeee. Usail una fanyika ila watu kibaoooo wapo tuu wanasubilia.....
Mkoa Dar es salaam ,wilaya kigamboniUnataka mkoa gani na Wilaya gani nikupe link...acha uboya kwanini niseme majina yote yapo means Nina uhakika ..ajiraleo website yao hwaja update yote Ila assenga utakuta
Iyo asenga yako.mbona hamna kitu zaidi ya matangazo tu mara wa kwambie ujiunge na telegram ... Au nyie ndio mnatafuta.millageIngia assengaonline acha ubishi mkuu..Kisha chagua mkoa wako Kisha Wilaya yako Kisha download PDF..sirudiiView attachment 2296431
Scam kibao hapoIngia assengaonline acha ubishi mkuu..Kisha chagua mkoa wako Kisha Wilaya yako Kisha download PDF..sirudiiView attachment 2296431
Wamefanyaje mkuu ?Tuko eneo la tukio tukisubiri kuwachapa hawa waalimu wakuu. Wataamua wenyewe watoe kazi ama laa ila tumejiandaa vya kutosha.
Nini maana ya sensa ?Si mtudokeze mlichokutana nacho kwenye usaili?
Assenga wnazingua mambo mengi sana hajasimplify mambo .Scam kibao hapo
Hahaha, yaani hapo ni mtu anatafuta Traffics kwenye site yake. Mfano mzuri jamaa atuletee ya Ilemela kutoka hapo kwenye blog yakeAssenga wnazingua mambo mengi sana hajasimplify mambo .