kalemauji
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 1,552
- 1,661
Kabisa yanijamaa inaonekana ana hali mbayaa sanaa alafu mtu wa kupanick sanaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yanijamaa inaonekana ana hali mbayaa sanaa alafu mtu wa kupanick sanaaa.
Hapo kwenye kishkwambi kikistaki jibu jibu jepesi ni kumjulisha msimamizi wa tehama kwa usaidizi/utatuzi.sensa ya ngap hii, na kishkwambi kikistak utafanya nn, tarehe ya sensa pia..!!?
Hilo la mwisho jibu lake ni UtakiwashaNini maana ya sensa ?
Zoezi la sensa linafanyika lini ?
Hii ni sensa ya ngapi ?
Ikitokea kishkwambi kimezima utafanyaje ?
Yes na hili ni jukumu lao namba 4Hapo kwenye kishkwambi kikistaki jibu jibu jepesi ni kumjulisha msimamizi wa tehama kwa usaidizi/utatuzi.
Mawela hapo. Oya umepiga picha upo nyuma yangu ujue 🤣🤣🤣
NBS WALISHAFELIMaajabu hayawezi kuisha nchi hii, yani maombi unatuma NBS cha ajabu wameshindwa kuchakata na kuweka kwenye website yao unaenda kufatilia kata kwa kubahatisha aibu hii!!!
Kinondoni vipIlala tayari wazee jitahidini kucheck majina yenu kama upo basi usaili ni kesho.
Nashindwa ku upload pdf hapa ila kata zote za wilaya ya Ilala tayari.
Mkeka tayari
Mkuu una mkeka wa temeke?WALE VIJANA WA UBUNGO MNAAMBIWA MNATAKIWA KUFIKA LEO OFISI ZA KATA NA VYETU VYENU VYA TAALUMA
Mkuu...moro DC mpaka time hii bado mambo bila bila aisee...kama una pdf la huku tafadhari lishushe mkuu
Hata harmashauri ya kilosa ni bila bila mkuu.
Vp walimu wameingia wote wameisha??Hivi kuna kata gani. Inahitaji. Watu wa nafasi za ukarani......
Aisee, ningeomba huko ningetoboaWakulungwa usahili wa tehama sio mchezo...full maswali half Ngoma kwa ngeli ni shidaaaa......
Temeke dar es salaam. Kigamboni dar es salaamUnataka mkoa gani na Wilaya gani nikupe link...acha uboya kwanini niseme majina yote yapo means Nina uhakika ..ajiraleo website yao hwaja update yote Ila assenga utakuta
Tupe yaliyojiriWakulungwa usahili wa tehama sio mchezo...full maswali half Ngoma kwa ngeli ni shidaaaa......