meck pro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,353
- 2,924
Usaili View attachment 2296571View attachment 2296572mkuu Kama una ya wasimamizi wa tehama msaada TAFADHALI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usaili View attachment 2296571View attachment 2296572mkuu Kama una ya wasimamizi wa tehama msaada TAFADHALI
Mkuunaomba eweke na page inayofuata
Tayari mkuuMkuu upload page ya kwanza peke yake.
Page nyingine sina nimepata hizo tuMkuu upload page ya kwanza peke yake.
[emoji1787][emoji1787]Shukuru kwa hicho, acha ulafi.
Ushafaulu hilo swahi mkuuwadau nyie kama wasimamizi mtu amejibu sensa itafanyika usiku wa teree 22 kuamkia taree 23 then akaulizwa siku gan akajib jumatatu ...kwenye marks kum utampa ngap? au akikosea anapigwa kosa kubwa
Huyo anashinda ofisi za UVCCM kule Chato.We si unasemaga humu ushapata ajira NGO wewe au ? Halafu kila siku mnawananga jobless Republic humu
MIMI PIA SIPAELEWI MPAKA SAA 10 HII INAKARIBIA KUFIKA SASA KIMYAAAAkinondoni wakubwa sielewi hapa aiseee
ok asante ila nimekosea siku nimesema jumatatu badala ya Jumanne ila taree ziko sawa tu mkuuUshafaulu hilo swahi mkuu
Mishe niliyoifuata naghairisha nitageuka Alfajiri kuwahi kwenye ofisi ya kata usahili ,hapana ni kupambania mpaka hatua ya mwisho.Unepishana na hela.mzee. ila kweli kunaukame wa ajira na kazi ya kujiingizia lipato