Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

naomba eweke na page inayofuata
Mkuu
IMG-20220719-WA0005.jpg
 
wadau nyie kama wasimamizi mtu amejibu sensa itafanyika usiku wa teree 22 kuamkia taree 23 then akaulizwa siku gan akajib jumatatu ...kwenye marks kum utampa ngap? au akikosea anapigwa kosa kubwa
 
Unepishana na hela.mzee. ila kweli kunaukame wa ajira na kazi ya kujiingizia lipato
Mishe niliyoifuata naghairisha nitageuka Alfajiri kuwahi kwenye ofisi ya kata usahili ,hapana ni kupambania mpaka hatua ya mwisho.
 
Kesho maswali yatakua nondo hatari..heri yenu mlofanya leo..wengine wameturudisha mpaka kesho.
 
Back
Top Bottom