Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Duuh wazee nmeumia sana possibl za hum zote n kama mlikuw mnanip mm zot nmeulizw na zot nmejib bila kuach sentens mpk wasimamiz wakashangaa shida jina lang NBS hawajalirudish, mwishon ndo nawapa chet wanaskitik jina lang halipo dah nmeumia sana wazee.
 
Hapana hata sipo moshi, ila Uru Kusini agenda yao nikuchukua kwanza walimu halafu wengine mfate nyuma, hii nchi walimu wana njaa sana, nadhani kupitia hili zoezi umeweza kuamn maneno yangu
Mimi si Mwalimu lakini penye hela HAKUNA asiye na njaa Tanzania hii, sio Waalimu, Watendaji wa vijiji, Manesi mpaka Mawaziri na Wabunge

Huku nimeona wahudumu wa vituo vya Afya wengi tu nao waliapply, waliojiajiri n.k
 
Duuh wazee nmeumia sana possibl za hum zote n kama mlikuw mnanip mm zot nmeulizw na zot nmejib bila kuach sentens mpk wasimamiz wakashangaa shida jina lang NBS hawajalirudish, mwishon ndo nawapa chet wanaskitik jina lang halipo dah nmeumia sana wazee.
Umefanya usaili bila jina kuonekana ?...🙄🙄
 
Hapana hata sipo moshi, ila Uru Kusini agenda yao nikuchukua kwanza walimu halafu wengine mfate nyuma, hii nchi walimu wana njaa sana, nadhani kupitia hili zoezi umeweza kuamn maneno yangu
Dah mzee mbna kama umesema vyema , maana walimu waliitwa before , then wakamaliza , ila moshi manispaa wameliwa kichwa woteeeeee
 
JAMANI TUSAIDIANE NA MAJINA YA KATA YA KUNDUCHI MANISPAA YA KINONDONI MAJINA KAMA YAMEBANDIKWA WENGINE TUPO MBALI.
 
Back
Top Bottom