Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Duuh wazee nmeumia sana possibl za hum zote n kama mlikuw mnanip mm zot nmeulizw na zot nmejib bila kuach sentens mpk wasimamiz wakashangaa shida jina lang NBS hawajalirudish, mwishon ndo nawapa chet wanaskitik jina lang halipo dah nmeumia sana wazee.
Mkuu tupe possible hzo mkuu na sisi tukaue uko

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wakuu kwa ambao wamefanya usaili ni kwamba wanaita majina in alphabetical order ama wa kwanza kufika ndo wa kwanza kuingia kwenye usaili?

Ama wao wenyewe wana utaratibu wao wa kuita watu kwa ajili ya usaili?
 
Duuh wazee nmeumia sana possibl za hum zote n kama mlikuw mnanip mm zot nmeulizw na zot nmejib bila kuach sentens mpk wasimamiz wakashangaa shida jina lang NBS hawajalirudish, mwishon ndo nawapa chet wanaskitik jina lang halipo dah nmeumia sana wazee.
Hivi mkuu mfano kata yako ulipofanyia usaili utaratibu wa kuitwa ni kutokana na alphabetical order ama ni kutokana na mtu wa kwanza kufika ndo anaitwa?

Au kuna utaratibu wao wenyewe wameweka? Tujuzane mkuu maana mtu unaweza kudamka mapema halafu ukaitwa mwisho kabisa.
 
Hivi wakuu kwa ambao wamefanya usaili ni kwamba wanaita majina in alphabetical order ama wa kwanza kufika ndo wa kwanza kuingia kwenye usaili?

Ama wao wenyewe wana utaratibu wao wa kuita watu kwa ajili ya usaili?
Unapewa namba
 
Hatarereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Sanaaaaaaaasaaaaaaaa
Mkuu wewe kwenye kata yako utaratibu wa usaili ukoje mkishafika eneo la tukio?

Je, wanaanza kuita majina kutokana na mpangilio wa herufi let say herufi A hadi Z ama ni wa kwanza kufika ndo wa kwanza kuitwa?

Ama wenyewe wana utaratibu wao wamejiwekea? Ufafanuzi tafadhali angalau tupate picha ingawaje kila kata huenda wakawa na utaratibu wao.
 
Unapewa kadi yenye namba, unapanga foleni kulingana na mtiririko wa namba yako yakwenye kikaratasi, kipindi wanapoanza kugawa namba ukiambiwa msisogee mlangoni msisogee kweli maana mkiwa wasumbufu wanaweza kupewa wa nyuma kabisa nyie wa mwanzo mkaachwa, walimu na uvccm wanapewa kipaumbele
 
Wakuu sina kitambulisho chochote wala leseni ya baiskeli nina namba za nida tu ,vipi niingie kwenye usahili au nibaki sebuleni kwenye kochi nikicheki muvi kwa shemeji ?maana kuna mtu kanitisha eti wataniambia subiri sensa ijayo..
 
Unapewa kadi yenye namba, unapanga foleni kulingana na mtiririko wa namba yako yakwenye kikaratasi, kipindi wanapoanza kugawa namba ukiambiwa msisogee mlangoni msisogee kweli maana mkiwa wasumbufu wanaweza kupewa wa nyuma kabisa nyie wa mwanzo mkaachwa, walimu na uvccm wanapewa kipaumbele
Nimekupata mkuu. Ila hili la upendeleo wa uvccm hawawezi kujaribu kufanya hivyo hadharani ni kosa kubwa.
 
Hivi mkuu mfano kata yako ulipofanyia usaili utaratibu wa kuitwa ni kutokana na alphabetical order ama ni kutokana na mtu wa kwanza kufika ndo anaitwa?

Au kuna utaratibu wao wenyewe wameweka? Tujuzane mkuu maana mtu unaweza kudamka mapema halafu ukaitwa mwisho kabisa.
Huku kwetu walianza wa kwanza kwenye list mpaka wa mwisho tulikuwa watu kama 75 hivi kata nzima.
 
Back
Top Bottom