Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Unataka mkoa gani na Wilaya gani nikupe link...acha uboya kwanini niseme majina yote yapo means Nina uhakika ..ajiraleo website yao hwaja update yote Ila assenga utakuta
 
Najua wenye tuna soft copy PDF ya original certificates tupo wengi tu. Tushauriane jamani tufanyaje jamani??? Au tuwaachie tu wenye original zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…