MandingoJR
Senior Member
- Jul 5, 2022
- 142
- 215
Mkuu...moro DC mpaka time hii bado mambo bila bila aisee...kama una pdf la huku tafadhari lishushe mkuuHapana haiwezi kuwa siku moja, mfano Morogoro MC na Morogoro DC wanafanya tarege 20, Jumatano.
Hata harmashauri ya kilosa ni bila bila mkuu.Mkuu...moro DC mpaka time hii bado mambo bila bila aisee...kuna una pdf la huku tafadhari lishushe mkuu
Poa ngoja niwashushieMkuu...moro DC mpaka time hii bado mambo bila bila aisee...kuna una pdf la huku tafadhari lishushe mkuu
Nimetoka huko kufanya usahili wao wa kiinua mgongo,ni mgumu kuliko ule wa Utumishi [emoji1][emoji1][emoji1]
Watz bado vichwa maji. Majina yakitoka utayakuta kwenye website ya halimashauri husika mfano www.ilemelamc.go.tzIyo asenga yako.mbona hamna kitu zaidi ya matangazo tu mara wa kwambie ujiunge na telegram ... Au nyie ndio mnatafuta.millage
Hawataki kuja kutuhabarishaWaliofanya usahili wa TEHAMA tupeane possible
Hii ndio shida ya watanzaniaHawataki kuja kutuhabarisha
Daaah wewe jamaa.........Hivi kuna kata gani. Inahitaji. Watu wa nafasi za ukarani......
Ingia assengaonline acha ubishi mkuu..Kisha chagua mkoa wako Kisha Wilaya yako Kisha download PDF..sirudiiView attachment 2296431
sensa ya ngap hii, na kishkwambi kikistak utafanya nn, tarehe ya sensa pia..!!?Tudokeze maswal yaloulizwa
jamaa inaonekana ana hali mbayaa sanaa alafu mtu wa kupanick sanaaa.Daaah wewe jamaa.........
HAPO UTAKUTA NI HII MIJITUMISHI IMEJAADah hii ni hatareeeeeeeeeeeeeeeeee. Usail una fanyika ila watu kibaoooo wapo tuu wanasubilia.....