FamousinTown
Member
- Aug 15, 2021
- 61
- 37
Ilala majina 350 wilaya nzima ,Mungu atusaidie kuna dalili nzuri tukatoboa kwa wnye kufahm wilay nzm au kata itahitaji makaran wngp atujuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikisha na pita , mm ni yule mkaka niliyevaa shati la draft jeupe , hakikisha naenda weruweru chief maana leo wasahili wamelazimika kusimamisha usaili coz jioni ilifika sana na wao wakachoka etiiiiiSema kiongozi wangu
Mkuu unazungumzia ilala ipi?Ilala majina 350 wilaya nzima ,Mungu atusaidie kuna dalili nzuri tukatoboa kwa wnye kufahm wilay nzm au kata itahitaji makaran wngp atujuze
Kwa kuwa amepatia tarehe husika sidhani kama kutakuwa na haja ya kumnyima alama 10.sawa ukiwa kama mtendaji mtu alie kosea siku ila taree akapatia unampa alama ngap hilo swali lilikua na alama 10
Haya mambo kwanini usimfate PM ukamueleze wewe ni mtu gani mbona unajiweka wazi mno?Hakikisha na pita , mm ni yule mkaka niliyevaa shati la draft jeupe , hakikisha naenda weruweru chief maana leo wasahili wamelazimika kusimamisha usaili coz jioni ilifika sana na wao wakachoka etiiiii
Kama unayo freshNipo sehemu nyingine nataka nidamke alfajiri niwahi maskani nichukue cheti cha form 4 na chakuzaliwa , kwa kesho hiyohiyo tena nipitie serikali ya mtaa kusaka barua na wao wanachelewa kufungua vilevile nyomi kwenye kata inatakiwa niwahi sasa sijui nicheze vipi hapo au nitimbe kikomando na barua ya utambulisho ya mwezi huu huu ambayo ipo ndani..
Sidhani, kwa ilala hayo majina ni machache mno, tena mno.Ilala majina 350 wilaya nzima ,Mungu atusaidie kuna dalili nzuri tukatoboa kwa wnye kufahm wilay nzm au kata itahitaji makaran wngp atujuze
Tumia ya zamani kama vip timba na no za NIDA maana hii nchi ngumu sanaNipo sehemu nyingine nataka nidamke alfajiri niwahi maskani nichukue cheti cha form 4 na chakuzaliwa , kwa kesho hiyohiyo tena nipitie serikali ya mtaa kusaka barua na wao wanachelewa kufungua vilevile nyomi kwenye kata inatakiwa niwahi sasa sijui nicheze vipi hapo au nitimbe kikomando na barua ya utambulisho ya mwezi huu huu ambayo ipo ndani..
Kwani Kaka mimi nadhani wanahakika vyeti ulivyoambatanisha katka form tu? Au kuna mengine?Wakuu sina kitambulisho chochote wala leseni ya baiskeli nina namba za nida tu ,vipi niingie kwenye usahili au nibaki sebuleni kwenye kochi nikicheki muvi kwa shemeji ?maana kuna mtu kanitisha eti wataniambia subiri sensa ijayo..
Sa utajulikanaje kua wewe ni uvccm[emoji849]Unapewa kadi yenye namba, unapanga foleni kulingana na mtiririko wa namba yako yakwenye kikaratasi, kipindi wanapoanza kugawa namba ukiambiwa msisogee mlangoni msisogee kweli maana mkiwa wasumbufu wanaweza kupewa wa nyuma kabisa nyie wa mwanzo mkaachwa, walimu na uvccm wanapewa kipaumbele
pamoja mkuuKwa kuwa amepatia tarehe husika sidhani kama kutakuwa na haja ya kumnyima alama 10.