Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ilala majina 350 wilaya nzima ,Mungu atusaidie kuna dalili nzuri tukatoboa kwa wnye kufahm wilay nzm au kata itahitaji makaran wngp atujuze
 
Wasimamizi wa maudhui, maswali gani mmeulizwa tafadhari?
 
Ilala majina 350 wilaya nzima ,Mungu atusaidie kuna dalili nzuri tukatoboa kwa wnye kufahm wilay nzm au kata itahitaji makaran wngp atujuze
Mkuu unazungumzia ilala ipi?
Au hayo majina yatakuwa ni ya Kata Yenu Tu
Ilala majina ya wilaya nzima ni 18865.
 
sawa ukiwa kama mtendaji mtu alie kosea siku ila taree akapatia unampa alama ngap hilo swali lilikua na alama 10
Kwa kuwa amepatia tarehe husika sidhani kama kutakuwa na haja ya kumnyima alama 10.
 
Hakikisha na pita , mm ni yule mkaka niliyevaa shati la draft jeupe , hakikisha naenda weruweru chief maana leo wasahili wamelazimika kusimamisha usaili coz jioni ilifika sana na wao wakachoka etiiiii
Haya mambo kwanini usimfate PM ukamueleze wewe ni mtu gani mbona unajiweka wazi mno?
 
Kama unayo fresh
 
Tumia ya zamani kama vip timba na no za NIDA maana hii nchi ngumu sana
 
Wakuu sina kitambulisho chochote wala leseni ya baiskeli nina namba za nida tu ,vipi niingie kwenye usahili au nibaki sebuleni kwenye kochi nikicheki muvi kwa shemeji ?maana kuna mtu kanitisha eti wataniambia subiri sensa ijayo..
Kwani Kaka mimi nadhani wanahakika vyeti ulivyoambatanisha katka form tu? Au kuna mengine?
 
Sa utajulikanaje kua wewe ni uvccm[emoji849]
 
Kwa wale wa Mahina na Mhandu-Mwanza, nadhani asubuhi mliwaasili kwenye eneo la tukio, mlijiandikisha na wakaita majina 120 kwa leo saa 4asubuhi, 120 kesho na 120 keshokutwa, huku walimu wakiombewa wawe wa kwanza kufanya usahili kwakuwa wanasimamia mitihani.

Huo ulikuwa mpango wa siku tatu, yaani kuanzia leo 19 hadi 21 kwa makarani, lakini ilipotimia saa 8:30mchana iliingia meseji kutoka kwenye namba ya mtendaji ikinitaka niende kwenye usahili ilihali mimi nilikuwa nifanye jumatano.

Nilikuwa mbali baada ya kuruhusiwa kuondoka kwa wale tusiotakiwa kufanya usahili siku ya leo, mida ya saa 10 jioni niliamua nipite hapo eneo la tukio kujua huu wito unaochanganya.

Nilifika nikakuta hata wale 120 wa leo hawakufanya usahili, bali nilikuta kamati ya sensa ikiomba radhi kwa siku ya leo, hivyo usahili utakuwa kesho, huku wakisisitiza saa moja watu wawe eneo la tukio, kwa mahina watakuwa mahina sekondari na mhandu watakuwa nyakato B, primary, hivyo kama una ndugu yako mjulishe hilo badiliko.

Ila siyo waalimu, mtendaji, meya, wana watu wao, inasikitisha sana, nilisikia waalimu wakinung'unika kwamba itakuwaje, sisi tunasimamia mock(Mkuu tusaidie), Mtendaji akisema yule ni mdau wangu lazima hata apate ya ukarani apate hela hii ya sensa, Mwisho, uhalisia zoezi linasikitisha hasa kwenye kujuana, msiokuwa na watu nendeni mkajaribu bahati yenu.
 
Nafunga mjadala kwa kusema hivi, vijana wanaoomba possible za maswali ya Sensa hawana tofauti na vichaa, elimu yao haijawasaidia, wanyang'anywe vyeti.
Hawa ndio vijana waliokuwa wasumbufu primary mpaka university
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…