Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ajira za sensa ni kwa ajili ya watu wa masters?

Hizo kazi hata form two mwenye upeo mkubwa na urlewa wa haraka akipewa maandalizi na training ya kutosha anaweza fanya vyema sana .

Kuzifikiria sana ajira za muda mfupi ni... Temporary solution to a permanent problem
 
Wakuu Mimi mtaani kwangu namshukuru Mungu ushindani siyo mgum kivile lakini sijaua kila mtaa wanatakiwa watu wangapi sasa. Kwa kata nzima tupo tupo 200+. Mtaani tupo 10 tu
 
Walimu huwa wanatia huruma sana

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga, mtu wa form anaweza kufanya ukarani wa sensa na kwa ufanisi mkubwa kama mtu wa degree, kama una degree na huna kazi usiwabanie wenzako kwa sababu za kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…