ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Shati nyeusiI think "smart casual" is enough! Maana shughuli hii ni ya field zaidi
Na barakoaMajina yapo kwenye website ya ilemela Check mkuu
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Mimi natimba na Jezi ya Man U na kipensi na traki hapo vipi ?Shati nyeusi
Kadeti kaki
Begi jeusi
Ovaa
Temeke Mpaka Saa Hii Hakuna Kata Iliyotoa Majina Na Tunasikia mwisho ni leo kufanya interviewTemeke kuweni makini sana mzigo unaweza pigwa in silent mode kupunguza idadi, postcode ilikuwa hivi baadhi ya kata
ya ilemela ninayoWakuu kwa ilemela mpaka uwe na Microsoft au wps ndipo yanafunguka
Kuna shem wangu nilimfanyia mpango Temeke, ila kimya kimezidiTemeke kuweni makini sana mzigo unaweza pigwa in silent mode kupunguza idadi, postcode ilikuwa hivi baadhi ya kata
Naomba ya Ilemela mkuuya ilemela ninayo
Upo mlango wa ngap mkuuNipo kwenye foleni usahili sasa hivi watu wanapiga pindi hapo hapo kwenye foleni wakisoma possible kama wanafanya necta vile halafu kuna pisi kali kibao angekuwa mwanetu rikiboy angeshafanya yake.
Upo wapi mkuu nije nitege....naweza kuambulia kimwali.Nipo kwenye foleni usahili sasa hivi watu wanapiga pindi hapo hapo kwenye foleni wakisoma possible kama wanafanya necta vile halafu kuna pisi kali kibao angekuwa mwanetu rikiboy angeshafanya yake.
Upo mlango wa ngap mkuuNipo kwenye foleni usahili sasa hivi watu wanapiga pindi hapo hapo kwenye foleni wakisoma possible kama wanafanya necta vile halafu kuna pisi kali kibao angekuwa mwanetu rikiboy angeshafanya yake.