Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

mbna inashuka kwa kasi ivo
Kuna hii website wameweka mchanganuo

 
duuuuuh, yaan mim jana naingia usaili wmeniuliza elimu yngu kuwambia tu nmemaliza chuo kikuu wannanza kunambia wa chuo tupo weng tunatakiwa kujiajiri kutkana na elimu yte ad nguvu zkaniishia nkaona hapa nshakosa sasa sisi tulio na bachelor nashindwa kuelewa hawatutaki au vip na km hatutakiwa kwa nin nbs watuchague
 
Kama una uhakika wa huo upungufu ongea na mtendaji kata mapema yeye awasiliane na mwenzake na eneo hilo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Pole sana, usikate tamaa utachaguliwa tu
 
Walioomba wengi ni graduates mkuu sasa wawakate hizo nafasi wanamuweka nani tena?
 
Mwenye ktbu cha muongozo wa sensa naomba anitumie
 
Oya wajuvi eenh, hivi kutambua idadi ya watu ni lengo la zoezi la sensa au ni matokeo ya zoezi?

Hilo ndo swali linalotrend huku kwetu. Ufafanuzi tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…