Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Makarani 500 [emoji16][emoji16]Kesho sisi tunapiga usaili, makarani 526. Mitaa ipo 8.
Utaskia usaili unaisha siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makarani 500 [emoji16][emoji16]Kesho sisi tunapiga usaili, makarani 526. Mitaa ipo 8.
LengoOya wajuvi eenh, hivi kutambua idadi ya watu ni lengo la zoezi la sensa au ni matokeo ya zoezi?
Hilo ndo swali linalotrend huku kwetu. Ufafanuzi tafadhari.
OkayKama ni laki 5 basi semina haiwezi kua siku 21.
Maandalizi ya utekelezaji?Ni ya maandalizi ya utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2025
ni matokeo na sio lengo mkuu,umekoseaLengo
Mkuu lengo kuu la sensa ya watu na makazi ni nini?ni matokeo na sio lengo mkuu,umekosea
Kinondoni wametoa Majina 18/7/2022. Yakabandikwa kwenye Kata 19/7/2022 Usiku. Hakuna aliyepogiwa Simu wala Email. Interview 20/7 na 21/7/2022. Sijapata ona Uhuni wa Ajira kama huu. Anyway kisicho riski hakiliki. Tumenyimwa Fursa ya Ajira za muda za Sensa Kinondoni.I thnk watarusha kwenye habari maana tulikua na waandishi...
Wewe ndio umekosea,baada ya kupata idadi ya watu ndio utaanza kuona matokeo kulingana na hyo idadi.ni matokeo na sio lengo mkuu,umekosea
All the best jamesNa hatimaye na mimi nimemaliza usaili lisaa limoja limepita,tusubrie majibu sasa.
Nadhani wiki ijayo mwanzoniNimeuliza maswali 3 na nmejibu yote kwa ufasaha. Sasa hapo nimemuachia Mungu tu. Sijui majibu ni lini
Hilo swali lina mtego hapo, kwani lengo huwa linawekwa kabla ya mchakato kufikiwa, matokeo huwa yanakuja baada ya mchakato kufikiwa.Wewe ndio umekosea,baada ya kupata idadi ya watu ndio utaanza kuona matokeo kulingana na hyo idadi.
Ni kikubwa sana Mkuu?ushapita nini?? ninacho ila sina bando la kutosha mkuu
Kata ya Chamazi Wilaya ya Temeke waliomba Ukarani ni 1200+ bila kusahau Biza 1000 net.Aisee Unemployment is real wakuu
Hapa kata ya Mbagala kuu walioitwa kwenye usaili nafasi ya karani wa sensa ni 700+,Nafasi za maudhui ni 200+ na wataalamu wa Tehama ni 200+
Unamaanisha nin kaka, maana binafsi Niko totally disappointed na mchezo waliotuchezea walimu wakishirikiana na interviewers, ambao ni walimu wakuu. Maybe nikisikia neno toka kwako nitafarijika japo kidogo [emoji848]Humu ndani kuna watu wanaamini kuwa ukijibu vizuri maswali yao unapata kazi bt kiuhalisia ni tofauti
Ukiacha Walimu wa Msingi,hakuna form four jobless wala certificate atakaepata hii kazi ya Sensa labda huko Vijijini kusiko na Wasomi.labda wanataka kubase na form iv maana nliwashangaa sana kwa maneno yao
Sasa kuharibu kazi muhimu ya Taifa na hivyo vihela uchwara kipi bora? Bora ukatwe kichwa mapema awekwe mwingine,na hela za semina unapewa semina zikiisha.Hiyo semina si ina malipo hiyo, sasa pepa likifanyika mdau akafeli inakuaje kwenye malipo?