Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hii Kaz hawaitaji form four Wala degree hapa watachukuliwa form six na walimu tu.
 
Kifupi ni kuwa kama huna connection hesabu maumivu,na kubwa zaidi nahisi haya ni maelekezo kutoka NBS kuwa Viongozi wa Mitaa/Vijiji na Kata/Vitongoji walipewa majina na NBS au walipewa maelekezo kuwa wachague watu wanaona wanafaa kufanya hii kazi vigezo ni Elimu na background ya mtu husika anaeishi huo mtaa. Nawasikitia vijana masikini wa Kitanzania hasa form four waliohangaika na wanaoendelea kuhangaika na zoezi hili LA sensa wakikaa juani na kwenye mvua wakiwa na njaa kuanzia alfajiri mpaka jioni.
hili la alfajir hadi jion nliona kata ya ukonga jana.., nmekatiza asubuh nkakuta nyomi ya watu hata jion nilivokuwa narud kwenye misele bado nkakuta watu kibao
 
Umeongea kwa uchungu kwa vijana wategemea miujiza, Kuna miujiza miwili katika maisha nayo ni bahati(Mungu) na kujituma(Elimu) na vyote vinategemeana
Imagines mtu anaambiwa ataje Wadhamini wake aliojaza wakati anatuma maombi hawafahamu halafu ndio umpe kazi nyeti kama hii,vijana wengi wanamihemko na hiyo hela ya soda ya Sensa na sio kwenye ufanisi na uwezo wa kuifanya hiyo kazi.
 
Kamanda huu ni ukweli mtupu nimeona leo kabisa mtu anapigiwa cm
Mtu aliyenitonya aliombea kijijini majina yalivyotoka kachukua gari fasta mpaka Mtwara , wakati ananipanga habari hii alikuwa amekata tamaa kabisa kisa yeye hana mtonyo na koneksheni ya kutoa mpunga nikamuambia nafasi zote haziwezi kujazwa kimchongo lazima ibaki asilimia ya kugombania kajamba nani kwa hiyo hope moyo unaweza kupata.
 
Kata ya Chamazi Wilaya ya Temeke waliomba Ukarani ni 1200+ bila kusahau Biza 1000 net.
Mimi anuani ya makazi niliomba kata ya chamazi nilishuhudia nyomi balaa halafu nilivyoenda kwenye kata hapo tangazo limechelewa , wengi hawajui na wengine wameondoka wilayani tayari.

Nikagundua hii kata ina wasomi wengi na kubwa sana na ni ngumu kupenya , sensa nikabadili gia angani mapema .
 
Sasa kuharibu kazi muhimu ya Taifa na hivyo vihela uchwara kipi bora? Bora ukatwe kichwa mapema awekwe mwingine,na hela za semina unapewa semina zikiisha.
Umeelewa swali au umekurupuka kujibu ndgu??

Sijasema aliefeli aendelee, kama kupata malipo ni haki yake si anapata mzee.
Punguza ujuaji usio na kichwa wala miguu.
 
Watu wanawaza hivyo vijisenti vya malipo badala ya kujipima ufanisi na ugumu wa hiyo kazi.
Ugumu wapi acha kutisha watu kijana.
Labda upo kwenye ajira ndgu, mtaa wa moto.
Watu wanapiga michongo migumu ya hatati pesa kiduchu zaidi ya hiyo ya sensa inayotegemea ndio useme hiyo kazi ya kuzurula tu bila kutumia manguvu.

Labda kama hukuwahi pita shule au wale waliotoka chuo mwaka huu ndo itawapa changamoto, ila hawa wa kitaa hiyo ni chamtoto as long as wanalipwa.
 
Kinondoni wametoa Majina 18/7/2022. Yakabandikwa kwenye Kata 19/7/2022 Usiku. Hakuna aliyepogiwa Simu wala Email. Interview 20/7 na 21/7/2022. Sijapata ona Uhuni wa Ajira kama huu. Anyway kisicho riski hakiliki. Tumenyimwa Fursa ya Ajira za muda za Sensa Kinondoni.
Hakukua na pdf?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni C++ computer language
Sasa kwa akili yako hiyo idea kwenye sensa itakusaidia nin.......... Halaf nimesema leta technology wewe unaleta maswali ya lugha
Ulivyo MJINGA haujui kuwa programming language ni lugha za kiteknolojia na bado hauoni aibu kudharau wasomi!
 
Back
Top Bottom