Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mnaweza kuamini ndani ya masaa saba tumefanyiwa usaili watu mia sita[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Hii nchi ngumu sanaaa



Ova
Sisi ndani ya masaa mawili tumefanyiwa usahili watu 118 na hakuna ukaguzi wa vyeti. Imagine mm niliulizwa kiwango changu cha elimu, chuo nilichomaliza na je kama ninatumia simu janja pia kama nina uwezo wa kutumia compyuta. Baada ya hapo nikaambiwa kila la kheri! 😂😂😂😂😂 Haki ya Mungu hii nchi ni ngumu sanaaa. Ata sina imani tena na jina kutoka. Bila shaka nilisindikiza wengine!
 
Kata ya uru kusini , majina ya wasahiliwa yalikuwa zaidi ya 400+ pamoja na muda wenywe wa usahili , kazi ilienda hivyo basi , nipo na jiuliza hapa. Idadi ile je sisi. Jobless graduates je tunaweza fikiriwa ?? Au. Tuanze kuchukua hatua nyingine , maana mimi nataka niende katika wilaya moja wapo hapa kilimanjaro ye yenye upungufu wa makarani nika jaribu kuulizia kama naweza ingizwa kwenyw system huko huki , wilaya hizo ni hai dc au rombo dc
Watakuingizaje wkt huko hakuna jina lako?
 
Mimi nimeenda jana wamebadili maswali wamenishtukiza. Wananiuliza, je ikitokea nyumba ipo vichakani utaenda?. Nini maana ya statistics?. Njia gani inatumika kuhesabia watu.? N.k. Sema nimeyajibu yote.
 
Mimi nimeenda jana wamebadili maswali wamenishtukiza. Wananiuliza, je ikitokea nyumba ipo vichakani utaenda?. Nini maana ya statistics?. Njia gani inatumika kuhesabia watu.? N.k. Sema nimeyajibu yote.
mimi wameniuliza sensa ya mwsho ilifanyika mwaka gani ni kamjbu 2012 ,,je,ikitokea ukapangiwa eneo jingine utakubali?nikajibu nitakubali,akaniandikia makisi ,akaniambia tayari tushamaliza,nikasema asante nikaondoka.
 
Kwann sensa ya mwaka huu ina upekeee? Majibu tafadhari?
ina upekee ndio kwasababu ni tofauti na sensa zilizowahi kufanyika nchini hii iko kidigitali zaidi.

SENSA YA MWAKA HUU IKO KIDIGITALI ZAIDI MIMI NAJIBU TU HIVYO BASI MBWEMBWE NYINGI HAZIHITAJIKI.
 
Kwann sensa ya mwaka huu ina upekeee? Majibu tafadhari?
1. Imetenga maeneo ya kijiografia ya kuhesabia watu ktk ngazi za vitongoji/mtaa, na upatikanaji wa taarifa za kitakwimu ktk ngazi za kitongoji/mtaa.
2. Matumizi ya vishkwambi ktk hatua zote za utekelezaji wa zoezi la sensa kwa lengo la kupunguza gharama.
3. Uwepo wa maswali ya nyongeza yatakayowezesha upatikanaji wa taarifa zaidi za kitakwimu tofauti na Sensa zilizopita.
Unaweza ukajibu mojawapo kati ya hayo hapo juu.
 
Kwann sensa ya mwaka huu ina upekeee? Majibu tafadhari?
1.Ipo kidigital zaidi au inatumia vishkwambi kukusanya taarifa
2.Utengaji wa maneo ya kuhesabia watu
3.Nyongeza ya madodosi au taarifa yan kuna madodoso 2012 hayakuwepo bt sensa hii yapo mfano
1.taarifa za kidemograpgia
2.Taarifa za ulemavu
3.Taarifa za umiliki wa ardhi na team
4.Umiliki wa vitambulisho vya kitaifa
5.Uhamaji
6.Shuhli za kiuchumi n.k
 
Mkuu usipotoshe


Labda uniambie point ya kwanza TU ya digital na ile ya vitambulisho nyingine zote zipogo
JPEG_20220721_132445_7839379939435247704.jpg
JPEG_20220721_132514_2019576531790101689.jpg
 
MAOMBI YA MKOPO HESLB, VYUO, NACTE, RITA

Kama una mtoto, ndugu, jamaa au wewe mwenyewe unajiandaa kujiunga na elimu ya chuo kikuu mwaka huu:

Karibu nikusaidie kwa huduma zifuatazo:

1.Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa, Rita

2. Kutuma maombi nafasi za masomo ya vyuo vikuu

3. Maombi ya mkopo, bodi ya mkopo elimu ya juu HESLB

4. Maombi NACTE

Piga namba hizi:0683992623
0628368636(ofisi)

Kwa wakazi wa Kitunda, Matembele, Banana na Fremu kumi tafadhali fika ofisini Fremu kumi Mwisho wa gari, kwa ushauri zaidi.

Ushauri ni bure, Piga nikupe mwongozo wa kielimu.
Tafadhali mfikishie muhusika(share).
 
Back
Top Bottom