Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameitwa, waangalie majina yao kwenye ukarani, mikoa mingi wamechanganya pamoja.Hawajaitwa hata kwenye usaili sasa wanapita wapi
Kwani maudhui wanaitwa kivyao auMwenye nondo za watu wa MAUDHUI jamani tusaidiane.
nilijua mimi ni KARANI kumbe nimo maudhui
ndiyo wanakuwa separated.Kwani maudhui wanaitwa kivyao au
Mambo yanaanza kubadilika zamani hizi nafasi kwa asilimia kubwa ilikuwa zao ila sahivi watu wamechafukwa na graduate wanaongezekaNadhani ni nchi nzima, hata huku niliona mwongozo kuwa wafanyakazi wawekwa endapo ma jobless wenye sifa wakiisha na nafasi zikabaki wazi.
Maswali ya Maudhui na MAKARANI ni sawa sawa.ndiyo wanakuwa separated.
Na maswali yao ni different
Hakuna wilaya hawajaita Watu wa Maudhui, majina yamechanganywa humohumo ndani. Vijana mlioomba mnapata hizo kazi, majina yenu yametoka.Vipi kwa wilaya ambazo watu wa maudhui wote hawajaitwa kwenye usaili?
Mkuu sio kweli unachoongea Kuna wilaya hawajaita kabisa watu wa maudhuiHakuna wilaya hawajaita Watu wa Maudhui, majina yamechanganywa humohumo ndani. Vijana mlioomba mnapata hizo kazi, majina yenu yametoka.
Angalieni sehemu ya makarani yamechanganywa humohumo.
Last line....watu nenden mkajaribu bahati yenuKwa wale wa Mahina na Mhandu-Mwanza, nadhani asubuhi mliwaasili kwenye eneo la tukio, mlijiandikisha na wakaita majina 120 kwa leo saa 4asubuhi, 120 kesho na 120 keshokutwa, huku walimu wakiombewa wawe wa kwanza kufanya usahili kwakuwa wanasimamia mitihani.
Huo ulikuwa mpango wa siku tatu, yaani kuanzia leo 19 hadi 21 kwa makarani, lakini ilipotimia saa 8:30mchana iliingia meseji kutoka kwenye namba ya mtendaji ikinitaka niende kwenye usahili ilihali mimi nilikuwa nifanye jumatano.
Nilikuwa mbali baada ya kuruhusiwa kuondoka kwa wale tusiotakiwa kufanya usahili siku ya leo, mida ya saa 10 jioni niliamua nipite hapo eneo la tukio kujua huu wito unaochanganya.
Nilifika nikakuta hata wale 120 wa leo hawakufanya usahili, bali nilikuta kamati ya sensa ikiomba radhi kwa siku ya leo, hivyo usahili utakuwa kesho, huku wakisisitiza saa moja watu wawe eneo la tukio, kwa mahina watakuwa mahina sekondari na mhandu watakuwa nyakato B, primary, hivyo kama una ndugu yako mjulishe hilo badiliko.
Ila siyo waalimu, mtendaji, meya, wana watu wao, inasikitisha sana, nilisikia waalimu wakinung'unika kwamba itakuwaje, sisi tunasimamia mock(Mkuu tusaidie), Mtendaji akisema yule ni mdau wangu lazima hata apate ya ukarani apate hela hii ya sensa, Mwisho, uhalisia zoezi linasikitisha hasa kwenye kujuana, msiokuwa na watu nendeni mkajaribu bahati yenu.
Panel zilikuwepo ngap? Kama zilikuwepo nyingi basi inawezekana vzuri sanaMnaweza kuamini ndani ya masaa saba tumefanyiwa usaili watu mia sita[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hii nchi ngumu sanaaa
Ova
Maswali ni hayo hayo.ndiyo wanakuwa separated.
Na maswali yao ni different
Wasimamizi wa maudhui wengi wanachukuliwa kwanza wale waliokuwa wanawafanyia usaili yaani walimu wakuu kama kutatokea upungufu ndio wanaongezea hawa wengine ambao waliomba.Mkuu sio kweli unachoongea Kuna wilaya hawajaita kabisa watu wa maudhui
Ukweli huuLeo,kesho majina out!! Hku niliko mbanga ni za kutosha!! Nawaona maslay queen wanavyoliwa kimasihara mchana kweupeeee...maana c kwa shobo hz!!!!
Washkaji tuendelee kutafta hela aisee hii sensa tumepgwa za uso live[emoji15]
kua mvumilivu ndugu yangu[emoji38][emoji4]tatizo umepaniki sanaaaaa.Kata ya uru kusini , majina ya wasahiliwa yalikuwa zaidi ya 400+ pamoja na muda wenywe wa usahili , kazi ilienda hivyo basi , nipo na jiuliza hapa. Idadi ile je sisi. Jobless graduates je tunaweza fikiriwa ?? Au. Tuanze kuchukua hatua nyingine , maana mimi nataka niende katika wilaya moja wapo hapa kilimanjaro ye yenye upungufu wa makarani nika jaribu kuulizia kama naweza ingizwa kwenyw system huko huki , wilaya hizo ni hai dc au rombo dc
duuu si mchezoooAisee Unemployment is real wakuu
Hapa kata ya Mbagala kuu walioitwa kwenye usaili nafasi ya karani wa sensa ni 700+,Nafasi za maudhui ni 200+ na wataalamu wa Tehama ni 200+