John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Alimaanosha kila la kheri katika usahili sio katika kazi akashangaa wewe unaondoka!Nmekutana na Mwalimu wangu wa sekondari kwenye usaili...nilivyoingia tu akanitambua kisha akatabasamu akaniambia "Dogo vipi?" Nikaitia, halafu akaniuliza unanikumbuka nikamjibu "ndiyo"
Akaniambia "ok kila la kheri" nikasepa, interview yangu ikawa imeishia hapo.
Kweli nmeamini kujuana kupo.