Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

I thnk watarusha kwenye habari maana tulikua na waandishi...
Kinondoni wametoa Majina 18/7/2022. Yakabandikwa kwenye Kata 19/7/2022 Usiku. Hakuna aliyepogiwa Simu wala Email. Interview 20/7 na 21/7/2022. Sijapata ona Uhuni wa Ajira kama huu. Anyway kisicho riski hakiliki. Tumenyimwa Fursa ya Ajira za muda za Sensa Kinondoni.
 
Humu ndani kuna watu wanaamini kuwa ukijibu vizuri maswali yao unapata kazi bt kiuhalisia ni tofauti
Unamaanisha nin kaka, maana binafsi Niko totally disappointed na mchezo waliotuchezea walimu wakishirikiana na interviewers, ambao ni walimu wakuu. Maybe nikisikia neno toka kwako nitafarijika japo kidogo [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…