Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Chakusikitisha hata walimu waliopo kwenye ajira wanawananga walimu wenzao ambao hawana ajira (waliotoswa tamisemi). Watumishi ridhikeni na kidogo mnachopata ili wenzenu nao wapate hata senti ya kutuma application na kwenda kwenye usahili. Inasikitisha kuona mtumishi mwenye mshahara zaidi ya malipo ya sensa tena mtu mzima anahaha hadi kuhonga ili apate kibarua cha sensa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…