euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
We Ndo umejua Leo mkuuZa chini ya kapeti kutoka kijijini :mdau wangu kanitonya kuwa kuna tetesi za watu kutoa rushwa michongo imeshaanza baada ya usahili.
#HiiInchiNgumuSaana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Ndo umejua Leo mkuuZa chini ya kapeti kutoka kijijini :mdau wangu kanitonya kuwa kuna tetesi za watu kutoa rushwa michongo imeshaanza baada ya usahili.
#HiiInchiNgumuSaana...
Haya mambo haijalishi umejibu vipiJe upo tiyari kufanya Kazi ya Sensa kwa muda Mrefu
Nimejibu hapana ila kwa muda uliopangwa rasmi.
😃 Mm naona watu wamejibu vzr sana itabaki connection tu na bahatiHaya mambo haijalishi umejibu vipi
Na makarani kila kata wanatakiwa wangapi?Hii mishe ngumu sana nafasi ya maudhui 3 lakin usahili wanaitwa watu 200+ hakuna kitu hapo na cha ajabu unakuta wakuu wa idara pia wamo
Kikawaida kila kitongoji kinakuwa na karani, ila sijajuwa kwa Sensa hii ya 2022.Na makarani kila kata wanatakiwa wangapi?
NBS wamefeli Sana wastage of time and resources😃 Mm naona watu wamejibu vzr sana itabaki connection tu na bahati
Huku nilipo walitumia njia za kimafia sana, walikuwa wanawafundisha majibu ya uongo majobless ili waongeze nafasi ya kuchaguliwa wao.Leo katika interview nimekupata na walimu wanahangaika huku na kule ili wapate nafasi.
Ndio watajua kuwa hawajui.Haya mambo haijalishi umejibu vipi
Nani kakudanganya kujibu maswali kwa ufasaha ndio ticket ya kuchaguliwa?Huku nilipo walitumia njia za kimafia sana, walikuwa wanawafundisha majibu ya uongo majobless ili waongeze nafasi ya kuchaguliwa wao.
Mimi nimeshawaambia kitamboNdio watajua kuwa hawajui.
Connection[emoji2] Mm naona watu wamejibu vzr sana itabaki connection tu na bahati
Mimi naelezea situation ilivyokuwa, usilete ligi hapa.Nani kakudanganya kujibu maswali kwa ufasaha ndio ticket ya kuchaguliwa?
si kweli mkuu,mimi nipo kwenye system naona mambo yoteee udhibiti ni mkubwa sanaaa na hata ukipokea pesa kama haipo haipo tu kwahyo wala wasihangaike tu,maana udhibiti ni wa kutosha sanaaaa.Connection
Matokeo rasmi yatatolewa na NBS, Sasa hivi baadhi ya wilaya zimewasilisha majina ngazi ya mkoa.Mlioanza kupata matokeo ya usaili tupeni taarifa!!!