Huyu jamaa anatuharibia uzi wetu kea kuanza vitisho na kukatisha tamaa majobless wakimbie huu uzi na Mwenyezi Mungu akijaalia nikipata nitakuja kumpa spana humu na kufukua makaburi.Mimi naelezea situation ilivyokuwa, usilete ligi hapa.
Inamaana NBS watachambua tena majina yaliyopita kweny usail wa makaran, maudhui na watehama?Matokeo rasmi yatatolewa na NBS, Sasa hivi baadhi ya wilaya zimewasilisha majina ngazi ya mkoa.
Hapana, wao watayapokea na kutangaza tu. Kwenye jumatatu au jumanne mkeka utakuwa tayari. Na pia inawezekana wakaamua kuyabandika kwenye ofisi za kata ili kuongeza urahisi wa watu kuyaona maana website zetu za kibongo huwa zinaelemewa sana.Inamaana NBS watachambua tena majina yaliyopita kweny usail wa makaran, maudhui na watehama?
Anajifanya afisa kipenyo, connection connection utafikiri kuna mtu amemuomba hiyo connection.Huyu jamaa anatuharibia uzi wetu kea kuanza vitisho na kukatisha tamaa majobless wakimbie huu uzi na Mwenyezi Mungu akijaalia nikipata nitakuja kumpa spana humu na kufukua makaburi.
Ah sawa kiongozi......Hapana, wao watayapokea na kutangaza tu. Kwenye jumatatu au jumanne mkeka utakuwa tayari. Na pia inawezekana wakaamua kuyabandika kwenye ofisi za kata ili kuongeza urahisi wa watu kuyaona maana website zetu za kibongo huwa zinaelemewa sana.
Haya subiri matokeo ila usisahau kuleta mrejesho au kuja kulialia hapa,si umejibu maswaliMimi naelezea situation ilivyokuwa, usilete ligi hapa.
Kuna kata moja pia inahitaji watu 60 walioomba walikuwa 40 waliofanya usaili 19Kuna kata moja wanahitajika watu 58 ila waliohudhuria usaili ni watu 51,,dah yaani hapa kupata ni asilimia 100.
Ni kata ipo kijijini sana
Mkuu siyo kila sehemu connection kuna maeneo watu wachache sana imagine kuna sehemu moja wanahitajika watu 60 walioomba walikuwa 40 na waliofanya usaili walikuwa 19 tu ,na siyo hapo tu maeneo mengi nimepata hiyo taarifa na Wenzangu wao waliomba vijijini,Connection
Naamini kutakuwa na fursa ya kuchaguliwa katika kata fulani na ukapelekwa kata nyingine yenye uhaba, ndiyo maana walikuwa pia wanauliza kama upo tayari kufanya kazi eneo jingineKuna kata moja pia inahitaji watu 60 walioomba walikuwa 40 waliofanya usaili 19
Hiyo lazima Kiongozi, possible Sana Kwa ndani ya wilaya ili kubalance nguvu kazi ya zoezi husika,na tyari nimepata taarifa kwa moja ya source kuna kata yetu jirani x ipo mjini lkn watu walikuwa wachache kwaiyo kutakuwa na watakao pelekwa hiyo kata xNaamini kutakuwa na fursa ya kuchaguliwa katika kata fulani na ukapelekwa kata nyingine yenye uhaba, ndiyo maana walikuwa pia wanauliza kama upo tayari kufanya kazi eneo jingine
Duuh next time watu wajifunze waende kuomba vijijiniMkuu siyo kila sehemu connection kuna maeneo watu wachache sana imagine kuna sehemu moja wanahitajika watu 60 walioomba walikuwa 40 na waliofanya usaili walikuwa 19 tu ,na siyo hapo tu maeneo mengi nimepata hiyo taarifa na Wenzangu wao waliomba vijijini,
Wote mliopo kwenye system mnasema ukweli basi si mnafichasi kweli mkuu,mimi nipo kwenye system naona mambo yoteee udhibiti ni mkubwa sanaaa na hata ukipokea pesa kama haipo haipo tu kwahyo wala wasihangaike tu,maana udhibiti ni wa kutosha sanaaaa.
UPATIKANAJI WA AJIRA HUU KWA BILA CONNECTION NI UHAKIKA ZAIDI NA KILA MTU ANAENDA KULAMBA ASALI.
Alafu mjini kutakuwa na watu wachache tena hahahahaha alafu zamu ijayo watu watarudi mjini alafu kijijini kuna pelea tena?Duuh next time watu wajifunze waende kuomba vijijini
Soma kwa makini hio attachment.CHINI YA KAPETI FORM FOUR 4 WOTEE UHAKIKA WA KUPITA UPO KWA ASILIMIA 100 NA JOBLESS WOTE UHAKIKA UPO SANAAAAAA KWAHIYO SUBRINI TU NA MTAKUJA KUNISHUKURU.
ASANTENI SANAA KWA MAMA KULIONA HILI.
Aisee hatariiiSoma kwa makini hio attachment.View attachment 2299870
Si kweli, michongo kawa kawaUkiacha Walimu wa Msingi,hakuna form four jobless wala certificate atakaepata hii kazi ya Sensa labda huko Vijijini kusiko na Wasomi.
Kwenye Kata yetu Maudhui wanatakiwa watu 10 tu, walioomba hiyo nafasi ni zaidi ya 300Hii mishe ngumu sana nafasi ya maudhui 3 lakin usahili wanaitwa watu 200+ hakuna kitu hapo na cha ajabu unakuta wakuu wa idara pia wamo