Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nilikwambia ukajifanya wewe mjuaji sana,sasa unaanza kulialia na kushutumu Serikali.
 
Mkuu nyie postcode si mnaingia bila kupingwa mbona hiyo ipo wazi
Walisema ivyo kwasababu ya kufahamu mifumo hii na pia experience ya kutembea mitaani na kuhoji watu.
Ila kwnye maswala ya pesa ndefu wadau wanakua na roho mbaya sana,wapo tayari kazi ichelewe au iharibike ila pesa wapate watu wao maana wao watapata 10%
Waafrika sijui ni sisi tu watz kwenye pesa tunakua na tamaa sana. Aliyefanya postikodi anajua hawa jamaa mambo zao.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Tatizo letu tunakuaga na expectations kuuubwa utadhani sie ndo wa kwanza kupata degree.

Em tuliza akili hangaika kivingine hii sensa iwe extra tu, connection zipo lakini za kajamba nani hazikosekani mbili tatu ombea hizo basi walau uwemo.

Hizi mambo kulalamika all the time ni ushubwada na hausaidii kitu na system ya connection haijaanza leo wala jana.

Tumuombe Mungu kwa sana ili tupate lakini tukikosa basi jua haikua ridhki yangu , hiyo kulalamikia connection haisaidii.
 
Kama ungeulizwa hili swali kwenye usahili ungejibuje ???





IKITOKEA UNAKUTANA NA MTU HATAKI KUHESABIWA HUTACHUKIA HATUA GANI ? 2 SABABU...
Unampiga makofi tu akiwa mkubwa unamkodishia mgambo

au
unamwendea na barozi/ mjumbe wa nyumba 10 hata mwenyekiti wa mtaa ahesabiwe kwa nguvu


bila connection hata sensa hutoboi maana hii ni ya walimu na ndugu zake mwenyekiti na mtendaji
 
Ndugu wew si ulisema huu mchakato utakuwa wa haki na mambo yote NBS wanahusika sasa unaona mambo yalivyobadilika katani, yan kama unabifu na mtendaji,diwani imekula kwako
 
Ndugu yangu kijijini ndio anahusika kuchagua watu na ni mtuu wa juu kabisa katika kamati ya sensa pale kijijini ananilaumu kwa nini sikuomba kijijini ningekuwa nalamba asali sasa.

Ila yote kwa yote kama ipo ipo tu nasubiri mkeka wa dar utoke nikikosa sitojilaumu maana haikuwa riziki #OneDayYes
 
Bongo bhana tunalalamika kusema watendaji wanaweka watu wao kwa connection kumbe hata hii njema ni mdau wa mambo ya kujuana
 
Ukweli mchungu, hii ni Wilaya ya Nachingwea, kila Kata watu wa Maudhui wanachukua 10 tu, 5 watainiwa, wengine Waratibu kama mnavyoona hapo. Mkubaliane na hali halisi matokeo yatakapotoka
 
Naomba kufahamu maafisa tehama wanatakiwa wangapi kwa kila kata?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mkuu usikariri sana kila kata ina ukubwa wake sasa kadri inavyokuwa kubwa na idadi ya tehama inaongezeka mfano huku nilipo walitakiwa 20 halmashauri nzma bt wamepatikana 15 na wote wamepita nadhani wataingezewa kutoka kata nyingine
 
Mkuu usikariri sana kila kata ina ukubwa wake sasa kadri inavyokuwa kubwa na idadi ya tehama inaongezeka mfano huku nilipo walitakiwa 20 halmashauri nzma bt wamepatikana 15 na wote wamepita nadhani wataingezewa kutoka kata nyingine
Duh iyo halmashauri ina kata ngapi?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…