Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mkuu acha kuwasikiliza watu kama hawa kazi yao ni kupotosha tu hawana uhakika na jambo ila wanajaribu kuchomekea mambo kama hayo ili waone kama kweli kuna watu wamepigiwa simu.

Yeye mwenyewe hapo alipo ni kama hajiamini anaulizia taarifa kiaina.

Majina yote yatatangazwa rasmi na NBS na kubandikwa katani. Hata hao watendaji wa kata hawajui chochote kuhusu majina yatakayotoka.

Jukumu lao lilikuwa ni kuwasaili tu na kutoa mapendekezo kwamba majina haya ndo wamepata alama za juu lakini mwisho wa siku kamati ya sensa ya wilaya ama mkoa wanaweza kutoa orodha nyingine kwa kuchanganya majina ya waliopendekezwa na kata pamoja na ambao wameonekana kuwekwa pembeni.
Majina yanatangazwa na kata kabla ya NBS, nini maoni yako?
 
Hii nchi ni ngumu sana. Kuna wengine wameandikiwa status ya hana ajira wakati ni walimu waajiriwa wa serikali ambao tunaishi nao mtaani na hapa ndipo naamini kuwa hili zoezi linafanyika kwa maelekezo na connection za hapa na pale
 
Aisee,nilihangaika sana kufika kenye usaili.wilaya yetu ilikiwa ya mwisho kutoa majina ya walioitwa kwenye usaili.wakati yanatoka nilikuwa niko kigoma kuripoti ajira mpya.sasa ikanidi niombe ruhusa fasta ya kwenda kujiandaa siku 14.

Majina yalitoka j5 usaili alhamis, nikapita halmashauri nikasainiwa fomu.nikapanda mchomoko,gari wanazotumia kusafiria hadi kasulu.nikasubiri gari kutoka kigoma mjini ikafika kama satano imejaa balaa,nikaona isiwe tabu nilisimama hapo naelekea mwanza.aisee nilisimama miguu ikawa inawaka moto.tulifika kibondo saa kumi jion.nikaona hapa usaili umeshanipita mana uhakika wa kufika mwanza siku hiyo haukuwepo.

Basi tukaendelea na safari hadi lunzewe tulifika sa2 usiku ikabidi kulala pale.asubuhi siku ya usaili ndo natoka lunzewe kupitia Geita hadi busisi.matumaini yakaanza kurejea tulipofika kivukoni busisi sa tano huvi...cha kushangaza mtandao wa kukatia tiketi kivukon ukaroga nikasubiri lisaa pale.nilivuka kama sa sita na ushee.kwa ujumla nilifika Nikakuta watu wengi mno.

Kwenye usaili;waliokuwa wanahoji watu walikuwa wamechoka yani tulikiwa tumefungiwa kwenye ofisi akija anaita watu ka sita,baada ya dktatu anarudi tena.

Kimbembe kilikuja nilipoitwa nikaambiwa taja majina yako na elimu...naitwa x nina bachelor degree. Hee wakashangaa,degree ya nini...elimu mwaka 2015...hujaajiliwa ...ndio bado...wewe tambi lote hilo hujaajiliwa...nikaona isiwe tabu...napiga partime shule x ...hapo sawa.

Sijui kwanini walikiwa wanauliza sana kuhusu ajira.
 
Aisee,nilihangaika sana kufika kenye usaili.wilaya yetu ilikiwa ya mwisho kutoa majina ya walioitwa kwenye usaili.wakati yanatoka nilikuwa niko kigoma kuripoti ajira mpya.sasa ikanidi niombe ruhusa fasta ya kwenda kujiandaa siku 14.

Majina yalitoka j5 usaili alhamis, nikapita halmashauri nikasainiwa fomu.nikapanda mchomoko,gari wazotumia kusaria hadi kasulu.nikasubiri gari kutoka kigoma mjini ikafika kama satano imejaa balaa,nikaona isiwe tabu nisimama hapo naelekea mwanza.aisee nilosimama miguu ikawa inawaka moto.tulika kibondo saa kumi jion.nikaona hapa usaili umeshanipita mana uhakika wa kufika mwanza siku hiyo haukuwepo.

Basi tukaendelea na safari hadi lunzewe tulifika sa2 usiku ikabidi kulala pale.asubuhi siku ya usaili ndo natoka lunzewe kupitia Geita hadi busisi.matuaini yakaanza kurejea tulipofika kivukoni busisi sa tano huvi...vha kushangaza mtandao wa kufika tiketi kivukon ukaroga nikasubiri lisaa pale.nilivuka kama sa sita na ushee.kwa ujumla nilifika kisesa magu saa 8 Nikita watu wengi mno.

Kwenye usaili;waliokuwa nahoji watu walikuwa wamechoka yani tulikiwa tumefungiwa kwenye ofisi akija anaita watu ka sita,baada ya dktatu anarudi tena.

Kimbembe kilikuja nipoitwa nakambiwa taja majina yako na elimu...naitwa x nina bachelor degree. Hee wakashangaa,degree ya nini...elimu mwaka 2015...hujaajiliwa ...ndio bado...wewe tambi lote hilo hujaajiliwa...nikaona isiwe tabu...napiga partime shule x ...hapo sawa.

Sijui kwanini walikiwa nauliza sana kuhusu ajira.
Mbona huku Bongo hakukuwa na mambo mengi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hapana utaendelea kuwepo kwa ajili ya kuhabarishana kuhusu malipo ya Sensa hauwezi kufa mpaka zoezi liishe lote.
Mwongozo huo hapoo
IMG-20220724-WA0101.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio sawa ata kidogo wanaume tudai haki zetu[emoji23]
Wachache ambao wapiga kazi wengi ila wengine haswa masista duuh hawataweza nimeona kwenye postikodi mwanzoni,wanawake wanaacha kabisa au kazi inachelewa akisema kachoka kachoka.
Kutembea na kuhoji watu sio mchezo kama nilivyoona madodoso ni 5 dadeki lets wait and see

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mtakaopata nafasi hizi bila connection mje hapa mtoe ushuhuda ili kuwa prove wrong hawa wakatisha tamaa.

Majina mengine yamepelekwa wilayani na mengine yanaendelea kupelekwa kwa ajili ya uhakiki kisha yanatumwa NBS kwa ajili ya kutangazwa rasmi kwenye tovuti.
Huo.mchakato ndio upo hivyo ?
 
Wachache ambao wapiga kazi wengi ila wengine haswa masista duuh hawataweza nimeona kwenye postikodi mwanzoni,wanawake wanaacha kabisa au kazi inachelewa akisema kachoka kachoka.
Kutembea na kuhoji watu sio mchezo kama nilivyoona madodoso ni 5 dadeki lets wait and see

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mtaannkwangu ktk postikodi alikuwa ana tuhoji sister duu eti alikuwa ana kodi boda boda inamtembeza
 
Back
Top Bottom