Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kuna swali sijui ni la 3 lile lina marks 20, mfano unaulizwa ikitokea simu yako ika stuck unafanyaje? Wao walikuwa wanataka utaje at least njia 2 ndo upate alama zote, ukitaja 1 tu unapewa 10.

Ndio nimeuliza kuna mtu hajaulizwa hilo swali unalolisemea wala hayo mengine

Kaulizwa miaka yake tu ..huyu unampaje maksi ? Unasitisha vipi usaili kuendelea kumuuliza kutokana na jibu lake?
 
IMG-20220724-WA0000.jpg
 
kama ni hivyo mfano Mfano huyo aliyeulizwa miaka yake tu

Kulikuwa na kigezo cha kusitisha usaili kutokana na jibu alilotoa ?
Yaani huu usaili umekaa kimchongo walai, kuna Dada huku yeye hajaulizw swal lolote kabisa. Anasema waliangalia vyeti tuu. Usail ukaisha huyu naye atapata marks 50
 
Kwenye kata moja kuna vijiji au mitaa kadhaa. Kwenye kila kijiji au mtaa kuna vitongoji. Na kwenye vitongoji hivo kuna kitu kinaitwa ENEO LA KUHESABIA (A.E).
Sasa je kwenye kila eneo la kuhesabia je WASIMAMIZI WA MAUDHUI ni wangapi na makarani ni wangapi.
 
Kwenye kijiji inawezekana kukawa na msimamizi wa maudhui mmoja ila makarani mmoja kila kitongoji ila inategemeana na ukubwa wa kitongoji, vitongoji vingine vinaweza kuwa na makarani wawili mpk watatu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ndio nimeuliza kuna mtu hajaulizwa hilo swali unalolisemea wala hayo mengine

Kaulizwa miaka yake tu ..huyu unampaje maksi ? Unasitisha vipi usaili kuendelea kumuuliza kutokana na jibu lake?
Wapi hapo wameuliza miaka yake tuu na interview ikaishia hapo ? Ulikuwa naye huyo mtu kwenye chumba cha usaili au amekusimulia? wakat kwenye chet cha kuzaliwa miaka inaonekana , sometimes tuache kulazimisha chai kuwa mtori
 
Acha kuwa mbishi mkuu, mimi niefanyiwa usaili, niliulizwa maswali matatu tu.
 
Wapi hapo wameuliza miaka yake tuu na interview ikaishia hapo ? Ulikuwa naye huyo mtu kwenye chumba cha usaili au amekusimulia? wakat kwenye chet cha kuzaliwa miaka inaonekana , sometimes tuache kulazimisha chai kuwa mtori
Ni kweli kuna MTU kaulizwa pia jina lake tuu kisha usail ukaisha . NA wakat jina liko kwenye vyet alivyowakabiz
]
 
Wapi hapo wameuliza miaka yake tuu na interview ikaishia hapo ? Ulikuwa naye huyo mtu kwenye chumba cha usaili au amekusimulia? wakat kwenye chet cha kuzaliwa miaka inaonekana , sometimes tuache kulazimisha chai kuwa mtori
Acha ligi kuna baadhi ya watu wameulizwa hivyo huku kwetu ndio maana walienda spidi mtu unatoka mpka unashangaa . msiteteane hapa wazee wa system

Halafu chengine sasa

Mimi mdogo angu kaulizwa lile swali la upo tayari na zoezi la sensa kajibu ndiyo wakaangalia na vyeti imeisha hyo
 
kama ni hivyo mfano Mfano huyo aliyeulizwa miaka yake tu

Kulikuwa na kigezo cha kusitisha usaili kutokana na jibu alilotoa ?
Hili zoezi la usaili limechelewa kufanyika pia baadhi ya maeneo kuna watu wengi wasaili nao wanachoka yawezekana hao walioulizwa swali moja kama ni kwel umethibitisha labda walishapata idadi kamili kwa waliotangulia kuingia kwenye usaili au ywezekana pia walikuwa wakisailiwa mwishoni hivyo wanabahati mbaya wasaili wamechoka
 
Back
Top Bottom