Totally impossible [emoji28]Hizo porojo na tetes,hakuna mwenye uwakika mbaka sasa, kama waratibu wanakunja 80000 kwa siku ngaz ya mkoa,sizan kama ngaz ya wilaya iwe 20.
Anuani na. Makazi ilikuwa laki tano na nusu. Sasa sensa itakuwa juu ya anuani za makazi.Totally impossible [emoji28]
Anwani za makazi wengine walipewa hadi laki 3 tu wengine laki 2 mkuu, zoezi lakishamba Lile sijawahi kuonaAnuani na. Makazi ilikuwa laki tano na nusu. Sasa sensa itakuwa juu ya anuani za makazi.
Anwani za makazi wengine walipewa hadi laki 3 tu wengine laki 2 mkuu, zoezi lakishamba Lile sijawahi kuona
Vijijini zoezi lilienda vizuri sana kuliko mjini na vijijini walilipa vizuri. Na hicho kiasi mtu wa karibu ndio aliniambia.Anwani za makazi wengine walipewa hadi laki 3 tu wengine laki 2 mkuu, zoezi lakishamba Lile sijawahi kuona
Sina uhakika sanaa mkuu lkn kama umepata post shukuru Allah mengineyo yatajulikana mbeleKumbe kihela kiduuuuuchu ivi
Wawekee hata hapa wenzako kama umeyaona. Si wote wapo karibu na hizo ofisi za kataHaya haya haya hayawi hayawi sasa yamekuwaa TEMEKE majibu yako ofisi ya kata ..haya haya haya Nenda kajitazame ewe kijana
Vipi kata zote ?Haya haya haya hayawi hayawi sasa yamekuwaa TEMEKE majibu yako ofisi ya kata ..haya haya haya Nenda kajitazame ewe kijana
Hili tangazo limekaa Kishabiki sana.Haya haya haya hayawi hayawi sasa yamekuwaa TEMEKE majibu yako ofisi ya kata ..haya haya haya Nenda kajitazame ewe kijana
Ni kweli mkuu kuna madam nipo nae hapa na yy aliomba ndio kapigiwa simu akaangalie sasa ngoja nimtegee nikosikia ana jambo basi sitokuwa mzito kushareHili tangazo limekaa Kishabiki sana.
Eti haya haya.
Haina shida hiyo. Ni wapi huko?Dogo langu kapata ukarani ila jina lake wamekosea herufi moja. Vipi Hawatamla kichwa huko kwenye semina.
Majina yake halisi na aliyofanyia usaili ni
DAVSONI ERASTO MUSHI
ILA Jina lililotokea kwenye ubao Wa kata Ni
DAUSONI ERASTO MUSHI japo namba ya Simu ni ya kwake. Anatoboa hapa Dogo janja???
Ajiandae na semina.Dogo langu kapata ukarani ila jina lake wamekosea herufi moja. Vipi Hawatamla kichwa huko kwenye semina.
Majina yake halisi na aliyofanyia usaili ni
DAVSONI ERASTO MUSHI
ILA Jina lililotokea kwenye ubao Wa kata Ni
DAUSONI ERASTO MUSHI japo namba ya Simu ni ya kwake. Anatoboa hapa Dogo janja???
Sema jina lako limekosewa mkuu.Dogo langu kapata ukarani ila jina lake wamekosea herufi moja. Vipi Hawatamla kichwa huko kwenye semina.
Majina yake halisi na aliyofanyia usaili ni
DAVSONI ERASTO MUSHI
ILA Jina lililotokea kwenye ubao Wa kata Ni
DAUSONI ERASTO MUSHI japo namba ya Simu ni ya kwake. Anatoboa hapa Dogo janja???
Yuko Lushoto dogoHaina shida hiyo. Ni wapi huko?