Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Anwani za makazi wengine walipewa hadi laki 3 tu wengine laki 2 mkuu, zoezi lakishamba Lile sijawahi kuona

Vijijini zoezi lilienda vizuri sana kuliko mjini na vijijini walilipa vizuri. Na hicho kiasi mtu wa karibu ndio aliniambia.
 
Dogo langu kapata ukarani ila jina lake wamekosea herufi moja. Vipi Hawatamla kichwa huko kwenye semina.

Majina yake halisi na aliyofanyia usaili ni
DAVSONI ERASTO MUSHI

ILA Jina lililotokea kwenye ubao Wa kata Ni
DAUSONI ERASTO MUSHI japo namba ya Simu ni ya kwake. Anatoboa hapa Dogo janja???
 
Haina shida hiyo. Ni wapi huko?
 
Dogo langu kapata ukarani ila jina lake wamekosea herufi moja. Vipi Hawatamla kichwa huko kwenye semina.

Majina yake halisi na aliyofanyia usaili ni
DAVSONI ERASTO MUSHI

ILA Jina lililotokea kwenye ubao Wa kata Ni
DAUSONI ERASTO MUSHI japo namba ya Simu ni ya kwake. Anatoboa hapa Dogo janja???
Ajiandae na semina.
 
Sema jina lako limekosewa mkuu.
 
Back
Top Bottom