Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 380
- 422
Mimi nimeliwa kichwa chifu! Dogo yeye ndo kapat sema changamoto ndo hiyoSema jina lako limekosewa mkuu.
Kashapata, Lushoto hainaga shida sana, DC anaelewekaYuko Lushoto dogo
Haina shida hiyoDogo langu kapata ukarani ila jina lake wamekosea herufi moja. Vipi Hawatamla kichwa huko kwenye semina.
Majina yake halisi na aliyofanyia usaili ni
DAVSONI ERASTO MUSHI
ILA Jina lililotokea kwenye ubao Wa kata Ni
DAUSONI ERASTO MUSHI japo namba ya Simu ni ya kwake. Anatoboa hapa Dogo janja???
Una vyeti vya chuo, form six ama form four?Mimi nimeliwa kichwa chifu! Dogo yeye ndo kapat sema changamoto ndo hiyo
Wapi huko ?Dah! Hii nchi ni nzito sana! Kati ya watu 229 wamepita 30 pekee afu wote ni watendaji na walimu.
Mwenyekiti wa kamati ya sensa ni DIWANI.
Nashukuru Mungu maana nilishaacha pombe, leo ningekesha bar kupunguza stress
Ilemela kata x, huku naona connection imetumika sana ila yote kwa Yote Mungu ni mwemaWapi huko ?
Uliacha pombe wakati huna hela?sema umepumzika.Dah! Hii nchi ni nzito sana! Kati ya watu 229 wamepita 30 pekee afu wote ni watendaji na walimu.
Mwenyekiti wa kamati ya sensa ni DIWANI.
Nashukuru Mungu maana nilishaacha pombe, leo ningekesha bar kupunguza stress