Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Dogo langu kapata ukarani ila jina lake wamekosea herufi moja. Vipi Hawatamla kichwa huko kwenye semina.

Majina yake halisi na aliyofanyia usaili ni
DAVSONI ERASTO MUSHI

ILA Jina lililotokea kwenye ubao Wa kata Ni
DAUSONI ERASTO MUSHI japo namba ya Simu ni ya kwake. Anatoboa hapa Dogo janja???
Haina shida hiyo

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom