bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Naomba unitumie majina ya usaili inbox mkuuMkeka wa kinondoni kata ya mwananyamala ukitoka tujuzane wakuu
Mzee mbona mimi bado inafunguka vizuri kabisaLink zmefungwa, hakuna chochote...Nafkir kwakua waliwapa jukum ngaz ya kata
HahahKwa mambo yanavyoenda ukipata inabidi ka party kahusike kweli [emoji1787]
Majina sina..yalibandikwa ofisi za kata.. kama vipi pita hapo kata ukaya cheki kama bado yapo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daaah kwahiyo ngoma inaishia katan , hawayarudish tena NBSLink zmefungwa, hakuna chochote...Nafkir kwakua waliwapa jukum ngaz ya kata
Mzee mbona mimi bado inafunguka vizuri kabisa
Daaah kwahiyo ngoma inaishia katan , hawayarudish tena NBS
Maana nshapewa taarfa kuhus semina na ukumbi husika pia nkaambiwa kama kutakuw na mabdliko atanchekMzee mbona mimi bado inafunguka vizuri kabisa View attachment 2304358
Nahitaj matokeo kata ya likombe nduguMtwara majina yametoka tokea juzi ila semina tarehe 29.
Mkuu kata gan maana ya mtama kuna mwalimu wangu anakata zote za hyo halmashaurBinafs,, cjafankiwa kuchek Account yang ya NBS lakin jina langu limetoka. Halmashaur ya Mtama- Lindi
Mkuu kata gan maana ya mtama kuna mwalimu wangu anakata zote za hyo halmashaur
Tko pamoja mkuu nami niko hukonyamagana kata ya mahina please.
Unakonekshen kubwa sana hapo nyangao maana wenyew wamebandika janaNyangao, pia nmepata ayo majina tangu j'pili
Hivi hadi reserve wanaenda semina?Maana nshapewa taarfa kuhus semina na ukumbi husika pia nkaambiwa kama kutakuw na mabdliko atanchek