Nchii hii kuna mambo ya hovyo kupitilizaWanaochelewesha majina wanachomeka watu wao, Kuna mchezo nyuma ya pazia
Wànachomekwa UVCCM, believe itTemeke Bado tuu Hadi sasahiv and why wanakuaga Nyuma Sana since kutoa Majina ya usahili
Hamna kitu mkuuMjiandae kisaikolojia hasa kwa Watu wa Dar Kuna mshindo mkubwa unafanywa mpaka aibu Uchama, Umegubigwa mno kwenye hilo zoezi yajayo yanahuzunisha
link yako mbona haifungiki