Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Vita ni kubwa baadhi ya Wilaya wanachelewesha majina Sababu ikiwa ni mvutano ya kuchomeka watu. Mkuu wa Wilaya, mkurugenzi, meya, afisa elimu n.k kila mmoja ana wadau wake anahitaji wawemo kwenye mkeka. Ngumu zaidi watu hao waliomba usimamizi wa maudhui kwa kuamini kuwa wanakoneksheni za maana hawatokosa, lakini hali imekuwa tofauti nafasi hizo n chache mnoo zimebanwa na walimu wakuu kutokana na maelekezo ya Sensa.
Kinachofanyika ni kupindua meza tu, kuwahamisha hao wenye koneksheni hizo kutoka maudhui kwenda karani na hapo ndo kutokuelewana kunakuwepo maana kwenye ukarani wapo walioomba wa kutosha kabisa, hapahitajiki kuongeza watu mlowashusha daraja.

NB: Tuishi na watu vizuri, Sensa haikuwa na intavyuuuu....[emoji3][emoji3][emoji23]
 
Kwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Sensa sio siku tatu,shida inaanzia hapo
Sensa siku 11 plus siku 21 za semina

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Punguza stress utapakwa vilainishi bure.
Usichukulie kila kitu siriaz bro hizo stress umeziona wapi au ni muendelezo wa ramli ? kwa taarifa yako shemeji kanihakikishia nafasi hapa home kaniambia mimi nikae tu nisiwe na stress mpaka mambo yangu yatakapo kaa sawa kwa hiyo kila kitu free sina stress yeyote nikichoka kushinda mtandaoni nahamia sebuleni kucheki muvi nikisubiri cha mchana na simu kujaa moto nicheze gemu na kuperuzi Jf.
 
Binafsi nadhani majina yaliyokuwa yanahitajika na muhimu sana ni ya usahili, kama ulifanukisha kufanya usahili kwa kuwa na connection au bila connection inabidi tutulie tuu, hata wakiamua kuyatoa tarehe 29.

Kwa watakao fanikiwa kupata ni kubeba begi na kwenda seminar kwa wale wa mbali, wale wanaokaa karibu unachukua baiskeli yako, miguu au pikipiki.

Kila rakheri jamani tusiwe na presha majina yatatoka tuu kabla ya tarehe 29
 
Kwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Sensa Inaanza Tar 23/08/ inaishia tarehe 6/09 almost ni two weeks hii sijui siku tatu umeitoa wapi mjomba acheni Ramli ambazo hazino relevance
 
.
IMG-20220727-WA0008.jpg
 
Kwa wale walobahatika majina yao kurudi haya ndo yatakuwa malipo yenu kwa zoezi zima
Seminar cku 21@50000Tsh=1050000
Zoezi la sensa cku 3@100000=300000
Jumla Tsh 1350000
Kwa majobless hela ya mtaji hiyo kazi kwenu
Siku 3 ni totally wrong sijajua malipo ila sensa itachukua zaidi ya siku 3
 
Back
Top Bottom