Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

NBS , NBS , NBS nawaita mara tatu nimeweka kibando changu cha jero cha siku kuvizia mkeka kutokana na ramli yangu ,sasa ikifeli mtanipa wakati mgumu mno..
 
Humu hakuna hata mmoja aliyepata bila connection atoe mrejesho
Dogo langu kapata pia bila connection. Ila jina lake limekosema herufi moja japo namba ya Simu anadai ni yake
Jina halisi ni HANAD ISSA JUMA
Wao Wameandika HAMAD ISSA JUMA ila NAMBA YA SIMU YA SIMU NI YA DOGO.

Sent
 
Kwa nini unakuwa na mashaka na pasipokuwa na shaka?

Hayo ni makosa ya uandishi tuu,

Kumbuka hadi online atatambulika kwa email address yake.

Huyo tayari, ondoa shaka kabisa.

Tusalie nasi tutoboe
 
Back
Top Bottom