ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Majina yanabandikwa ofisi za kata,sindiyo?aiseeh mi nimetoboa maudhui pasipo connection ahsante mungu.na wamechukua maudhui wanne tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina yanabandikwa ofisi za kata,sindiyo?aiseeh mi nimetoboa maudhui pasipo connection ahsante mungu.na wamechukua maudhui wanne tu
Nikajua ni Iringa tu ndo wanatoa mishikaki ya mbwa kumbe hadi jiji la mzasubiri baadae jioni ule mishikaki ya mbwa pale mahina center.
MIMI NIMEPATA MUDA SI MREFU sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki nimepita
connection nyingi zimetumika mzee,wala hamna cha kuangalia mtu kafeli wala nini,,,kuna mtu form 4 kapata 4 ya mwisho lakn kachaguliwa kisa baba yake ni diwaniNshakatwa kichwa [emoji3][emoji3].
Hizi mambo kwa waliokua na asilimia nyingi za kupata, vijana waliokimbia miji waliokua wanasomea chuo ili kuwahi usaili wameumizwa sana aisee..
Yote kwa yote poleni sana wakuu.
Mi wala sioni haja ya kulalamika saana .connection nyingi zimetumika mzee,wala hamna cha kuangalia mtu kafeli wala nini,,,kuna mtu form 4 kapata 4 ya mwisho lakn kachaguliwa kisa baba yake ni diwani
Njoo hapa mkuu, kumbe upo Muheza[emoji23]Muheza hukooooo kitu kitu
Karibu Genge Michungwani[emoji38][emoji38][emoji38]Njoo hapa mkuu, kumbe upo Muheza[emoji23]
Hongereni wanaTangaTanga
Ukipata wa ubungo utume humu mkuuKuna mdau alisemaga sitapata, Nika promise ntakuja kusema hapa,ajiandae naona mkeka wa ilala unaload sana ukitoka tu ntakuja sema hapa haoa.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wa Nyumban Kbsa? Mm kijana wa Genge Jirani na Chogogwe Kbsa, Station ya TreniKaribu Genge Michungwani[emoji38][emoji38][emoji38]
asante mdogo wangu kapataHongereni wanaTanga
Hii halmashauri haina mpinzani😁😁Nyamagana mwanza.
Nyamagana mwanza.
Nyamagana mwanza. Kulikoni?