Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nshakatwa kichwa [emoji3][emoji3].

Hizi mambo kwa waliokua na asilimia nyingi za kupata, vijana waliokimbia miji waliokua wanasomea chuo ili kuwahi usaili wameumizwa sana aisee..

Yote kwa yote poleni sana wakuu.
connection nyingi zimetumika mzee,wala hamna cha kuangalia mtu kafeli wala nini,,,kuna mtu form 4 kapata 4 ya mwisho lakn kachaguliwa kisa baba yake ni diwani
 
Back
Top Bottom