Mbomozo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 365
- 966
Ndio kila karani anapewa Ipad mpya baada ya kazi anarudishaMadame S:
Zitatumika tablet zao(serkali)?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kila karani anapewa Ipad mpya baada ya kazi anarudishaMadame S:
Zitatumika tablet zao(serkali)?
yeahMadame S:
Zitatumika tablet zao(serkali)?
Vipi umeula, usimamizi wa Sensa?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ngoja nicheke kwanzaaaa
Vipi tayari umeshaliwa kimasihara au ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ngoja nicheke kwanzaaaa
Ukipata ya TunduruSongea
Nitumie pdf mzee nione na mm. PleaseeeeDogo wangu kapata ukarani kata ya Uru Kusini, hongera yake
Wee jamaa ukikosa hii nafasi unaweza kulaani sana. Maana umekamia kinomaNitumie pdf mzee nione na mm. Pleaseeee
Utachafua Hali ya hewa mkuu, watu wanahasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ngoja nicheke kwanzaaaa
Mi sjakusemea wewe boss , mbna unakrupuka kama kinyampokama unanisemea mimi sjaomba hizo mambo nina madogo wawili mmoja kaliwa kichwa tehama mmoja kapata karani usipende sana kuongea mambo usioyajua
Teh teh teh laana zimeanza sasaKwani si huwa unaona wanavyozeeka vibaya[emoji23][emoji23][emoji23]
wakipata mafao tu wanatapeliwa chap au kupigwa na malaya wa town