Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ngoja kwanza matusi,vilio na laana ziishe kwanza,si unaona hapo juu washaanza kuwalaani na kuwatukana Walimu. Tuliwaambia hii ni ngoma ya wakubwa si ya watoto sasa wanaanza kujionea ukweli.Haya Ramli za Malipo Zianze Mara Moja