Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ngoja kwanza matusi,vilio na laana ziishe kwanza,si unaona hapo juu washaanza kuwalaani na kuwatukana Walimu. Tuliwaambia hii ni ngoma ya wakubwa si ya watoto sasa wanaanza kujionea ukweli.
Kwan malipo sh ngapi Mkuu mpaka uanze kusema hivyo?
 
Nitumie pdf mzee nione na mm. Pleaseeee
daaah we jamaa ukikosa hii nafasi inaonekana itakunywa sumu au utazimia kabisaaa maana sio kwa hamu hizo,,,na ukikosa unaweza kwenda kwenye semina kuzamia na kuomba wakusaidie huku unalia.
 
Reactions: 10k
Hatimae nimejiona, Ila tanga hawana mbambamba mkeka Safi kabisa sio halmashauri zingine zinafichaficha kama maradhi bhana
mkuu wameyachakachua majina sana tu walim kama wote nimeona hapo angalau kata ya nguvumali walim s sanahio tangasisi ndio usiseme,

kuna siku halmashauri walitaka vijana kwa kila kata walikua na semina tangu asbh saa tatu mpaka saa kumi walitakiwa wawalipe elf 20 kila mtu huwez amini wa mbali kama mabokwen, tongoni, kirare pongwe hao walilipwa elf 5 wa tangasisi masiwani walilipwa elf 3

kama umepata wewe shukuru tu lakini wamechakachua mnoo
 
makinda mama zigo naona linakuelemea omba watu wakusaidie mzigo mzito mpe mnyamwezi hili zoezi nyeti kwa mustakabali wa taifa letu cha ajabu adi muda huu saa 2 na dk 09 leo tarehe 27 eti kuna halmashauri bado awajui hatma yao na semina tarehe 29 huu ni utani kabisa na utoi ata katamko uchwara umelizika tu unaujumu maendeleo ya nchi yetu fokea hao wakurugenzi hata kama ujawateua wewe wanakualibia kazi wewe zoezi hili likialibika wewe ndo wakuwajibishwa kwanza
 
Habarini za Jioni
kwa wale ambao wanasubiri PDF za Kazi ya Sensa kama haukufanya kazi ya Anuani za Makazi (Postikodi) na sio mkuu wa shule, afisa halmashauri au mratibu elimu kata basi usiweke matumaini sana. Ni bahati mno kupata kama haupo sehemu hizo tajwa.
hata Hao walimu wanaodhaniwa kuwa ndio walengwa wakuu hali ni mbaya sana.
Sensa kwa maendeleo ya nchi. wote waliopata na kukosa Tujiandae kuhesabiwa.
Agost 23 2022 keep the date.
 
Hatari tupu. Hao jamaa wa anuani za makazi si ndo wanalaumiwa kuharibu kazi.
 
daaah we jamaa ukikosa hii nafasi inaonekana itakunywa sumu au utazimia kabisaaa maana sio kwa hamu hizo,,,na ukikosa unaweza kwenda kwenye semina kuzamia na kuomba wakusaidie huku unalia.
Binafsi namuombea sana huyu dogo apate, ana hustle sana
 
jina langu halijatoka.nimepoteza siku 2 kufanikisha interview.na bado sijapata.ni maumivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…