Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

0678467663 Customer care wa takwimu hii namba nimebonyeza auto redial imepigwa kwanzia saa nne mpaka mda huu inatumika tu huu ni uongo haiwezekani nikaloose chance zote zaidi ya 1000 nilizopiga na je inamana anaongea tu mda wote bila kukata simu ili ahudumie na wengine au atatue matatizo kama ya kuresend password kwenye email nakadhalika. Acheni uhuni wa kipumbavu kama hamtaki tupate kazi kwann mmetangaza sasa.
 
Mimi labda niwashauri ndugu zangu, kama unauwezo wa kupata makazi ya kujistiri kidogo Vijijini huko mbali basi kaombe huko vijijini. Huku mijini watu wanakila aina ya vyeti so ushindani lazima uwe mkubwa.
Hiyo kila aina vyeti haisaidiiiii ,kinachotakiwa ni kidato cha nne tu,nyingine ni mbwembwe
 
0678467663 Customer care wa takwimu hii namba nimebonyeza auto redial imepigwa kwanzia saa nne mpaka mda huu inatumika tu huu ni uongo haiwezekani nikaloose chance zote zaidi ya 1000 nilizopiga na je inamana anaongea tu mda wote bila kukata simu ili ahudumie na wengine au atatue matatizo kama ya kuresend password kwenye email nakadhalika. Acheni uhuni wa kipumbavu kama hamtaki tupate kazi kwann mmetangaza sasa.
Wamefanya Block unknown call
 
Naomba ufafanuzi...!! Je vyeti lazima viwekwe kwenye mfumo wa pdf au hata mfumo wa picha tu unafaa?
 
Alafu namba za siri imeshakuwa tatizo Leo naona wanatuma na kwenye namba yako ya simu
 
Namshumuru sir god nimeshatuma maombi yang now nasubiri tu nikawe Ngoswe Rasmi huko kijijn kwetu bt this time akina ngoswe tunaenda kuhonga vishkwambi
Utafungwa kijana [emoji23][emoji23]
 
Ujue watu wa takwimu wapo humu pia wanatuchola mtu wangu [emoji38][emoji38]. Mm swali langu ni kwamba je watajuaje kuwa hili dole gumba sio la zainab??? Tupo million 60 Tanzania kujua kila dole gumba huo ni uongo, mm natia madole yangu bhana
Sasa kama unajua wapo huku kwanini unauliza, jiongeze kimya kimya
 
Eti wadau ukikosea upande wa wadhamini ndio imetoka hakuna kuedit?

Mtandao ulikuwa unasumbua nikampa mtu anijazie usiku. Kaniwekea wadhamini walio mbali, wakati nilimpa majina mapya abadilishe. Hata hao aliowaweka namba zao za simu kachanganya.

Kisicho riziki hakiliki.
 
Kwani shida iko wapi, dole gumba weka Lako hata kama namba sio zakwao kwani kule wanajua???? Vijana vp
 
Back
Top Bottom