Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ivi mdhamini akiwa mbali mm nikaamua kutafuta muhuni aweke dole gumba lake je watajuaje Hilo dole gumba sio lahuyo mzamini???. Maana mm mzamini yupo mbali sana tena polini huko hakuna ata mtandao
 
Thread hi ni msaada mkubwa sana kwa waombaji wa nafasi hizi za Sensa.
 
Wanahitajika watu wengi halafu watu wachache walioomba
Sasa wewe jidanganye,kwa takwimu walizotoa tarehe 9 waliofanikisha maombi ni 100k na ushee,kumbuka maombi yalianza kutumwa tar 5 hivyo hapo ni ndani ya siku 4 tu....[emoji23][emoji23]
Mpaka kufikia tarehe 19 kuna siku 10 mbele [emoji23][emoji23][emoji23]sasa kama siku 4 wameomba 100k je hizo siku 10 watafika wangapi?makadirio ni 1.5m [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji57][emoji57][emoji57]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Siku ya kwanza nadhan mpka siku ya nne mbele zilikuwa znatoka page 4 ,lakin zile page 4 zilikuwa zinaonesha udhaifu fulani Hv so wamepunguza hzo page Kwahyo kila mtu atafuata utaratibu huzika.
Mpka sahivi zinatoka nne .jana nimetoa nne
 
We unadhani watakagua madole gumba ya wangapi mimi nimepiga kote la kwangu hadi la wadhamini wote wawili
Ujue watu wa takwimu wapo humu pia wanatuchola mtu wangu [emoji38][emoji38]. Mm swali langu ni kwamba je watajuaje kuwa hili dole gumba sio la zainab??? Tupo million 60 Tanzania kujua kila dole gumba huo ni uongo, mm natia madole yangu bhana
 
Tena kama wapo huku waache ufala watu wanalalamika mifumo yao mibovu

Halafu sasa fomu ambayo ingetakiwa wapime dole gumba wakiamua inakua kwa mtendaji huyu mtendaji anaweza kupima ? Ana vifaa hivyo [emoji1787]

Ile ya online hata hawawezi kwanza tayari ushai scan
 
Ujue watu wa takwimu wapo humu pia wanatuchola mtu wangu [emoji38][emoji38]. Mm swali langu ni kwamba je watajuaje kuwa hili dole gumba sio la zainab??? Tupo million 60 Tanzania kujua kila dole gumba huo ni uongo, mm natia madole yangu bhana
Watangalia umeombea kijiji au kata ipi kisha wataangalia wadhamini wako umeweka wanaishi wapi na ndipo dhana ya kufoji dole gumba itakapoanzia.
 
swala la kuyajua madole gumba si wanaunganisha na mfumo wa nida tu mkuu.
lakini sidhani kama itakua hivyo, dole gumba navyodhani ni lamda ikitokea hitilafu yoyote mfano kama karani kufanya wizi au hujuma yoyote na kukimbia ndo watahangaika na hayo madole gumba ya wadhamini. kwa hii phase ya kuomba ajira sioni kama watakua wanahaja na kuyaangalia, ni sawa na wewe ukaweka saini ambayo siyo ya kwako ,hawatahangaika kuijua kama ni yako kweli au sio mpaka pale itakapohitajika kufanya hivyo.
 
Alama ya dole gumba ukishascan uhalisia unatoka kudetect inakuwa ngumu
 
Watangalia umeombea kijiji au kata ipi kisha wataangalia wadhamini wako umeweka wanaishi wapi na ndipo dhana ya kufoji dole gumba itakapoanzia.
Binadamu hakai sehemu moja mkuu maisha ya saizi tunapuyanga kila siku kuhama makazi
 
Nimejaza kote nimemaliza,nimetuma maombi sijapata jibu lolote,nimeangalia email hawajanitumia....
Nimecheck spam box empty,nimereflesf mailbox nothing.....
Nimerudi kwenye mfumo nimejaza tena taarifa nimetuma tena najibiwa NAMBA HII ISHATUMIKA KUTUMA MAOMBI YA SENSA NENDA KATIKA EMAIL YAKO UANGALIE USERNAME NA PASSWORD UINGIE KUPRINT FORM NO.1 ....ila nikiingia hakuna kitu

Msaaaaaadaaaa jamani
Nifanye nini ndugu watanzania wenzangu?
Form sijatumiwa kwenye email, Bali unapomaliza kujaza taarifa zako page inayokuja Ina sehemu ya kudownload form.
Kwenye email unatumiwa link na password ya kiungilia kwenye account yako hukohuko NBS na ku uplod form baada ya kusainisha.
 
Back
Top Bottom