Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
Total ni laki moja na pointsMbona kama hio elfu 58+ kama niwachache mm nilijua tushatoboa kwenye elf 80+ huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Total ni laki moja na pointsMbona kama hio elfu 58+ kama niwachache mm nilijua tushatoboa kwenye elf 80+ huko
Tatizo masharti mengi halafu magumu hizi ajira watu hawatatosha na wataishia kuchukuana wenyewe tu ndiyo maana hata wameongeza mdaKutokana na ufinyu wa vigezo vya hz kazi nilijua watu watakaoomba watafika milioni plus, Ila kwa muendelezo huu hata Laki 6 hawatofika.. na inaonesha robo ya waombaji watakuwa wametuma maombi kimakosa.. just imagine wengine hawana namba za NIDA, vyeti vya kuzaliwa.. But Kila la kheri Wasakatonge
Sasa ulidhani itakuwa wapi? Vijana mna wenge sanaNimefanikiwa kuliona ilikuwa kwenye Gmail
[emoji16]Sasa jikoni unafanya nini?pika basi
Wanahitajika watu wengi halafu watu wachache walioombaOi ulitumia namba gan naiomba
Bonyeza halafu subiri kidogo yatajionyesha baada ya mdaKwenye kuchagua mkoa napata machaguo vizuri ila kuanzia wilaya, halmashauri, jimbo, n.k machaguo hayaji na nikiandika kwa kawaida hayakai. Vipi shida ni nini hapo? Nifanyeje kuendelea??
wamesema tumia kompyutaNomepakua fomu na. 1 lakini siioni kwenye simu yangu, ila password nimetumiwa kwenye email
Wewe Fanya unachoweza kufanya hayo mengine achana nayo,,mbona unaumiza kichwa mambo ambayo hufaidiki nayo!!!!WANAWEZAJE KUPROVE KAMA FINGERPRINT NI ZA WADHAMINI KWELI? kama maombi yenyewe ndio hayo zaidi ya laki
Huo muda wa kukagua madole gumba wanaupata wapi ratba yenyewe inawabanaWANAWEZAJE KUPROVE KAMA FINGERPRINT NI ZA WADHAMINI KWELI? kama maombi yenyewe ndio hayo zaidi ya laki
Sifaidiki nayo kivipi wakati mimi ndio ninaapply na hao wadhamini wanazingua kwenye fingerprint? ndio maana nataka nijue kama ni lazima sanaWewe Fanya unachoweza kufanya hayo mengine achana nayo,,mbona unaumiza kichwa mambo ambayo hufaidiki nayo!!!!
Nani kakuambia kila mtu kaomba ?Kila mtu anaomba ukarani sensa..sasa nani atahesabiwa
Nilivyoambiwa na mtendaji (rfk angu)Watakaochaguliwa majina Yao yatatumwa kwa watendaji au kwenye email zetu? Naomba msaada wa majibu
UnawezaaIv Kama mwanzo haukuweka kiambatanisho kingine .. kweny ku update unaweza kukiattach?
Sorry mkuu.kwa wale watu wanaopata changamoto ya kutuma maombi na kushindwa kupata form au kupata ujumbe wa aidha namba ya simu email nida au namba ya form four imetumika fuata taratibu hizi kupata form au password
1. jaribu kupiga simu wakipokea waambie changamoto unazozipata watakutatulia ila hapa ni kazi sana simu yako kukielewa.
2. kama una jamaa au ndugu yako yuko dodoma mtume aende NBS akakuchukulie password yako hii njia ni 100% leo mimi nimetuma mdogo wangu wakampa password na form tayari nime print.
Acha kucomplain vitu.. unataka mda wote maisha yawe magumu tu.. kikubwa dole gumba linaonekana.. stoppppWANAWEZAJE KUPROVE KAMA FINGERPRINT NI ZA WADHAMINI KWELI? kama maombi yenyewe ndio hayo zaidi ya laki
How mbon mm inaandik no files selectedUnawezaa