Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Wakuu naomba kuuliza"

Je wale ambao Kata zao,,tarafa zao na mitaa yao haipo kwenye option zilizoainishwa kwenye tovuti unafanyaje!?
Hakuna kata wala tarafa ambayo haipo kwenye system
 
Jamani mm hii siku ya tatu nahangaika usiku na mchana kutumiwa password kwenye email yangu lakini nimeambulia patupu sijui kwa kuwa nipo moshi alikotoka mbowe maana sipati form yakupakuwa wala password kwenye email
 
Kisicho riziki hakiliki
 
Jamani mm hii siku ya tatu nahangaika usiku na mchana kutumiwa password kwenye email yangu lakini nimeambulia patupu sijui kwa kuwa nipo moshi alikotoka mbowe maana sipati form yakupakuwa wala password kwenye email
Hhhhhhhh
 
Watu wameshaenda kwenye semina tokea jana. Kuna chalii nipo nae kitaa kaondoka jana kwenda kwenye semina Iringa. Hilo tangazo ni geresha tu
Acha umatako wa kujifanya unajua vitu...mm npo iringa Tena jikoni na hakuna semina Wala nn acheni hzo jaman
 
Jamani mm hii siku ya tatu nahangaika usiku na mchana kutumiwa password kwenye email yangu lakini nimeambulia patupu sijui kwa kuwa nipo moshi alikotoka mbowe maana sipati form yakupakuwa wala password kwenye email
Inabd kupga tu zile namba zao mpk uwapate wakusalimie
 
Jamani iv kuhesabika kua ume tuma maombi mapema(short listed) nipale unapo tumiwa usaname na password au unapo upload fom namba moja?
 
Kuwa shortlisted ni ishu nyingine na kutuma maombi mapema ni kitu kingne bt hauwez kuwa shortlisted kama hujatuma maombi .
 
Back
Top Bottom